Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salam wakuu<br />Baada ya kuvutiwa na bidhaa za aliexpress na mimi nikaagiza bidhaa moja hivi<br />Nimeagiza toka tarehe 27/6 mpaka leo tarehe 9/7 bado mzigo wanadai upo hongkong <br />Najaribu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english. Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel...
4 Reactions
70 Replies
6K Views
Habari wafa, Kuna mtu amekuja na gari Kutoka South Africa nimeipenda nataka kununua. Naomba kujua nikitaka kuibadili namba zake za usajili zisomeke za Tanzania gharama zake zipoje na utaratibu...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Misiba ya zamani utawasikia ' Waombolezaji ' muda wote.... Wakimlilia Marehemu huku wakitoa sana ' michango ' ya Pesa. Wakiwatia moyo Wafiwa Wakisaidia Kazi muhimu za pale Msibani Wakihakikisha...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Bado nchi yetu ni kama haina viongozi kabisa kuna hili jambo limeibuka la mayai ya kwale kutibu magonjwa sugu, Bila kuthibitishwa na wataalamu na Serikali ipo likizo trey ya mayai ya kwale ni...
0 Reactions
64 Replies
20K Views
Jana 9-10-2017, katika kipindi cha “This Week in Perspective” – TBC – kinachoendeshwa na Adamu Simbeye, waliongelea kuhusu Vitabu Vibovu vilivyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE). Kati...
0 Reactions
4 Replies
954 Views
Habari wakuu. Naomba tupeane uzoefu wa kufanya kazi chini ya maboss vimeo wasiojua kazi na wenye gubu na maneno mengi Mimi binafsi Nishawahi kufanya kazi chini ya boss mmoja hivi wa kike, sina...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna Watu bwana ikitokea wamekufa wanaachaga usumbufu wa kusaka picha kubwa na wakati mwingine picha hukosekana kabisa, hebu kapigeni picha bwana. Kifo Kipo any time.
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Mabasi ya mikoani huwasaidia sana wasanii wa bongo movie kuwatangaza. Naimani kabisa raia wengi hulazimishwa kuangalia bongo movie wawapo safarini wengine hukumbushwa na wengine hukerwa sana...
16 Reactions
69 Replies
8K Views
Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Ndugu wana jukwaa, habarini za asubuhi, natumaini mu wazima wa afya. Samahani naomba kufahamishwa kama hii kampuni ipo tanzania ama haipo, FAIRWAY EXPRESS COURIERS LIMITED. Mwenye taarifa zaidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana JF wote, Nina matumaini mu wazima wa afya njema na kwa wale wagonjwa Mungu awasaidie muwahi kupona.. Back to the point.. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26...
12 Reactions
64 Replies
6K Views
NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl] Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa kumzaa. Baada ya hiyo hali kumchosha house...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba hili nimeshindwa kulipatia majibu ya kutosha hata baada ya kujipa muda wa kutosha kulitafit. Binafsi nilishawahi kumuona walau ndondocha mmoja mwenye asili ya...
13 Reactions
107 Replies
24K Views
Wakuu. Bongo kuna uchakachuaji sana. Ukinywa beer, kilevi chake siyo sahihi. Beer nyingi zinalewesha mno na zina hang over ya ajabu mno. TBS sijui huwa wanapimaje aisee au sijui huwa zimechacha...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Wanajamvi, Ninaomba wahusika wauchukue ushauri wangu juu ya hawa wanaoitwa "wauwaji wa Kibiti" Imekuwa sasa kawaida kupata taarifa kwamba hawa waliouawa ni miongoni mwa genge lile. Mie naomba...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Haya ni maajabu sana, watu wanawasifia watoto wa Maraisi kwa kufanikiwa maishani mwao, hivi mnaelewa hata maana ya kuwa Raisi wa Nchi? Raisi ni Mkuu wa nchi, hivyo mtoto ile tu kubeba jina lake...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Maonyesho ya kimataifa ya kibiashara yanapoelekea ukingoni Kuna kitu nimejifunza baada ya kuhudhuria mara kadhaa. Wale watu asilimia kubwa ni wachangamfu, wanaeleza kwa kina na kwa shamra...
4 Reactions
6 Replies
967 Views
Ndugu zangu hwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili kabila la Kimasai kutokuwa na watu waliozaliwa na ulemavu wa aina yoyote ile,sijui ni siri gani ambayo inawafanya kutokuwa na walemavu na si tu...
0 Reactions
142 Replies
18K Views
Ni kwamba 73% ya Wananchi wa Uganda / Waganda huwa hawanawi ' mikono ' yao wakitoka kukata ' bogi / kujisaidia haja Kubwa '. Yaani kwa ' hesabu ' iliyo fupi tu na iliyotukuka ni kwamba kila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom