Shirika la Posta Tanzania waahidi makubwa baada ya kujishindia tuzo kwenye maonyesho ya sabasaba

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83

Picha na Othman Michuzi Media Group

TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za kutoa huduma. Tunzo hiyo alibabidhiwa Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Deo Kwiyukwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dr. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba.
 
Back
Top Bottom