Nilifiwa na dada yangu kipenzi toka tumbo moja

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
9,116
Reaction score
8,662
Nilipata nafasi ya kwenda kumsalimia baada ya kufika nyumbani kuiona familia yangu baada ya miezi kadhaa nikiwa mbali nao. Dada alianza kuugua ugojwa wa "msongo wa mawazo" baada tu ya miezi michache ya ndoa yao.

Tulimpeleka hospital za kila aina hadi shemeji uchumi wake ukapolomoka. Niliamua kuuza baadhi ya mifugo yangu kumpa kapani shemeji yangu kwani pamoja na dada kuugua kwa zaidi ya miaka tisa bado alimpenda na kumheshimu kama vile ndo wamefuga ndoa jana.

Dada alibahatika kuzaa watoto......... Nilipofika nilipendekeza dada nimpeleke kwenye maombi kwani nilikuta ashamkataa hata mtoto wake mchanga wa karibia mwaka mmoja. Ndipo nikaambiwa mchungaji Frank amekuja Mwanza hivyo nikamchukua dada na mme wake hadi kwenye maombi.

Tulitoka kwenye maombi na kufika nyumbani kwake shemeji saa nne usiku maana mahubiri yaliisha hadi usiku na yalihudhuliwa na watu weeeeeengi ajabu!!! Nilirudi kwangu but baada ya wiki moja dada alifariki kwa kujinyonga.

Nilibaki na maswali mengi kwa nini dada amejiua baada ya mimi kumpeleka kwenye maombi. Anyway namwachia mungu. Ni miezi sasa zaidi ya miwili baada ya tukio hili lililoniacha nikiwa na msongo wa mawazo na maswali yasiyo na majibu.

Shukrani za pekee kwa shemeji yangu kwa kumvumilia dada kwa muda mrefu akiwa mgojwa na namna ulivyothamini hata mwili wake mazishini.
 
Dah,poleni sana aisee.

Watu wana mengi mioyoni mwao.
 
Nilirudi kwangu but baada ya wiki moja dada alifariki kwa kujinyonga.

.

Pole sana mkuu, nadhani suluhisho pekee aliloliona la yeye kuondokana na mateso hayo ni kujitoa uhai.

Kuna hali huwa zinatukuta mpaka mtu unafikia uamuzi huo wa kujiua.

Kikubwa mumuombee huko aliko enda.
 
Pole sana,msongo wa mawazo unaua haraka sana haswa mgonjwa akiwa peke yake cha msingi ilkuwa tiba ya kisaikolojia.polen sana
 
Pole sana mkuu..kwa wakati wake dada alipigana vita iliyo kuwa ya haki..alale pema
 
Pole sana mkuu, nadhani suluhisho pekee aliloliona la yeye kuondokana na mateso hayo ni kujitoa uhai.

Kuna hali huwa zinatukuta mpaka mtu unafikia uamuzi huo wa kujiua.

Kikubwa mumuombee huko aliko enda.
Amen mkubwa wangu
 
Nilipata nafasi ya kwenda kumsalimia baada ya kufika nyumbani kuiona familia yangu baada ya miezi kadhaa nikiwa mbali nao. Dada alianza kuugua ugojwa wa "msongo wa mawazo" baada tu ya miezi michache ya ndoa yao.

Tulimpeleka hospital za kila aina hadi shemeji uchumi wake ukapolomoka. Niliamua kuuza baadhi ya mifugo yangu kumpa kapani shemeji yangu kwani pamoja na dada kuugua kwa zaidi ya miaka tisa bado alimpenda na kumheshimu kama vile ndo wamefuga ndoa jana.

Dada alibahatika kuzaa watoto......... Nilipofika nilipendekeza dada nimpeleke kwenye maombi kwani nilikuta ashamkataa hata mtoto wake mchanga wa karibia mwaka mmoja. Ndipo nikaambiwa mchungaji Frank amekuja Mwanza hivyo nikamchukua dada na mme wake hadi kwenye maombi.

Tulitoka kwenye maombi na kufika nyumbani kwake shemeji saa nne usiku maana mahubiri yaliisha hadi usiku na yalihudhuliwa na watu weeeeeengi ajabu!!! Nilirudi kwangu but baada ya wiki moja dada alifariki kwa kujinyonga.

Nilibaki na maswali mengi kwa nini dada amejiua baada ya mimi kumpeleka kwenye maombi. Anyway namwachia mungu. Ni miezi sasa zaidi ya miwili baada ya tukio hili lililoniacha nikiwa na msongo wa mawazo na maswali yasiyo na majibu.

Shukrani za pekee kwa shemeji yangu kwa kumvumilia dada kwa muda mrefu akiwa mgojwa na namna ulivyothamini hata mwili wake mazishini.
Pole kwa kufiwa ndugu.

Kuhusu dada yako haukutakiwa kumpeleka kwenye maombi, bali wewe ndiye uliye paswa ufanye maombi makali kwa ajili yake na familia yenu kiujumla. Soma vizuri biblia utanielewa nazungumzia nini.

Kwa sasa unatakiwa uzidi kukazana katika maombi na sadada ( maombi yasiyo ambatana na sadaka siyo maombi/yana ugumu kujibiwa)

Ni hayo tu kwa sasa, MUNGU azidi kukutia nguvu.
 
Shemeji aulizwe vizuri swali la kwanza
1.kazi anaweza?
2. Hajaathirika!
Amini asilimia 99% dada kafariki akiwa salama kabisa na HIV kwani kuna kipindi tulimleta nyumbani (kuwa karibu na mama kiuangalizi) na kafariki akiwa kanenepa na afya isiyo hata na homa wala dalili yoyote ya ugojwa huo. Kumbuka alimkataa hata mtoto wake wa kuzaa.
 
Nilipata nafasi ya kwenda kumsalimia baada ya kufika nyumbani kuiona familia yangu baada ya miezi kadhaa nikiwa mbali nao. Dada alianza kuugua ugojwa wa "msongo wa mawazo" baada tu ya miezi michache ya ndoa yao.

Tulimpeleka hospital za kila aina hadi shemeji uchumi wake ukapolomoka. Niliamua kuuza baadhi ya mifugo yangu kumpa kapani shemeji yangu kwani pamoja na dada kuugua kwa zaidi ya miaka tisa bado alimpenda na kumheshimu kama vile ndo wamefuga ndoa jana.

Dada alibahatika kuzaa watoto......... Nilipofika nilipendekeza dada nimpeleke kwenye maombi kwani nilikuta ashamkataa hata mtoto wake mchanga wa karibia mwaka mmoja. Ndipo nikaambiwa mchungaji Frank amekuja Mwanza hivyo nikamchukua dada na mme wake hadi kwenye maombi.

Tulitoka kwenye maombi na kufika nyumbani kwake shemeji saa nne usiku maana mahubiri yaliisha hadi usiku na yalihudhuliwa na watu weeeeeengi ajabu!!! Nilirudi kwangu but baada ya wiki moja dada alifariki kwa kujinyonga.

Nilibaki na maswali mengi kwa nini dada amejiua baada ya mimi kumpeleka kwenye maombi. Anyway namwachia mungu. Ni miezi sasa zaidi ya miwili baada ya tukio hili lililoniacha nikiwa na msongo wa mawazo na maswali yasiyo na majibu.

Shukrani za pekee kwa shemeji yangu kwa kumvumilia dada kwa muda mrefu akiwa mgojwa na namna ulivyothamini hata mwili wake mazishini.
Chanzo cha hayo yote ilikua ni nini? Na mlipoenda kwa nabii frank mlimuona kwaajili ya kumponya? Au hamkuweza mfuata na kumuelezea shida ya dada, pole sana mkuu,
 
Hicho ni kichaa cha uzazi, ungempeleka kwa wanasaikolojia, mngemuonyesha upendo na kumjali...na siku hizi naona kipo common, nishasikia kesi kadhaa za hivo
 
Back
Top Bottom