TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,681
- 28,797
Kutokana na mvua kubwa zilizonyesha Tibet-China na kusababisha janga(video) tuamishe ikulu yetu haraka. Na wale wote wanaokaa kwenye kingo za mito maziwa na bahari wahikikisha wanaweka vidhibiti madhubuti kukinga nyumba zao ama wahame kabisa.