Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejikuta nashtuka pale Bwana Gelard hando alimpotaka Bw Fredwaa ataje aina ya visamvu kwa maana ya mboga kwenye PB leo, Fredwaa akatamka waziwazi kisamvu cha kopo Wataalam wa mambo naomba...
1 Reactions
30 Replies
11K Views
Mtakwimu ni mtu ambaye amesheheni na anajua jinsi ya kuzitumia statistical tools (powerful weapons), kuanzia kuamua ni data gani zikusanywe, aina gani ya data zikusanywe ili kuweza kutatua tatizo...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Tafadhali wataarifu watu wote ambao Una urafk nao Facebook kwamba kuna mtu anaitwa Jayden K.Smith wasimkubalie urafki kwasababu ni MTU ambae Ana chukua account za watu na Ana mzunguko ambao...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa, leo ameanza ziara ya wiki moja katika wilaya nne kati ya tano zilizopo katika mkoa huo wa Lindi kusini mwa Tanzania...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi,pamekuwepo na tangazo linalo wahitaji watumishi wote wa umma kuweza kufanya uhakiki wa majina ya akaunti zao za benki zinazo tumika kuingiziwa mishahara,majina hayo ya akaunti...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni tafiti uliofanywa hivi karibuni na umebaini kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kwa nchi zenye viwango vidogo vya sumu huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Kenya. N:B Watu wa idara ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu! Kwa kweli wakazi wa kutokea njia ya Tegeta (barabara ya Bagamoyo) kuelekea mjini hapa jijini Dar es salaam, kuna hizi taa za barabarani yaani traffic lights zimewekwa katika maeneo...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kati ya biashara zinazoendeshwa kiujanja ujanja ni Mtandao wa Habari wa Bongo5.Com na kituko wanachofungia nacho mwaka ni kutumia copyrighted stock image kutoka Kampuni ya picha ya DreamStyme...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari... Niende moja kwa moja kwenye hoja husika.. Naomba kufamishwa hotel nzuri Morogoro, ni mara yangu ya pili, mara ya kwanza nililala Flomi hotel na nilipapenda sema mi napenda swimming na...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Salaam Kuna jambo linanitatiza nikaona nililete hapa jukwaani maana ni kisima cha maarifa. Wiki iliyokwisha nilikwenda ku renew leseni yangu ya udereva TRA nikiwa na TIN number pamoja na leseni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Eunice Pallangyo amefanya utafiti katika wilaya ya Ilala na kubaini kwamba vifo vya akinamama wilayani humo husababishwa na mambo mbalimbali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Pius Luteko mkazi wa kijiji cha Nankanga mkoani Rukwa, ameuawa kwa kukatwa mapanga baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu. Akithibitisha...
3 Reactions
114 Replies
13K Views
Kuanzia July 2015 hadi June 2016 Bodi ya Mikopo imetoa Tsh. Trilioni 2.5 kwa wanafunzi 330,801, idadi ya wanafunzi waliokopeshwa ni 379,179. Asilimia 65 ya kiwango cha mikopo iliyokusanywa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam Wadau mie nina kakiwanja kangu hapa mjini Moshi. Nimeenda ofisi za ardhi ili kuweza kuanza mchakato wa kukipima. Maelezo na gharama nilizoambiwa zimeniacha hoi na imebidi niondoke kimya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kaimu Kamanda Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lucas Mkondya, amesema watu hao wamekamatwa huko Kongowe mkoa wa Pwani wakiwa na gari moja aina ya Noah lenye namba T 455 DEP. "Baada ya kuwakamata...
7 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari Wakuu, Leo kwenye gazeti la New York Times nimeona tumeshika tatu mkia kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha. Syria pia yupo juu yetu. Inakuwaje wakuu hadi North Korea wananchi...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Napenda kuwashukru kwa dhati benki ya NMB makao makuu wa kusiliza kilio changu. Baada ya kuposti usiku wa kuamkia leo kuwa benk ya NMB wamenifanya kuwa ombaomba, NMB makao makuu wamenipigia simu...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo nalikuwa nazunguka zunguka, nikapita sehemu wanauza matunda nikanunua apple 1 kwa sh 1000, ambalo lina size sawa na chungwa la 200, peas la 200, piches ya 100, embe la 300. Sasa nikatafakari...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Wanajamvi, Mwaka jana kulikuwa na zoezi la uhakiki kwa watumishi wa uma, zoezi hilo lilikwenda kwa awamu kama tatu hivi; 1.Uhakiki wa watumishi hewa 2.Uhakiki wa vyeti (NECTA) na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
GUMZO LA ESCROW: Sababu 5 za William Ngeleja kurudisha Fedha Waziri wa zamani wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja leo July 10 ametangaza kurejesha pesa Tsh. milioni...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Back
Top Bottom