Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu hwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili kabila la Kimasai kutokuwa na watu waliozaliwa na ulemavu wa aina yoyote ile,sijui ni siri gani ambayo inawafanya kutokuwa na walemavu na si tu...
0 Reactions
142 Replies
18K Views
Ni kwamba 73% ya Wananchi wa Uganda / Waganda huwa hawanawi ' mikono ' yao wakitoka kukata ' bogi / kujisaidia haja Kubwa '. Yaani kwa ' hesabu ' iliyo fupi tu na iliyotukuka ni kwamba kila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nilikutana na huu mjadala mkali ambao vijana walikuwa wanaujadiliii, Ivi ni kweli kuna urafiki kati ya rafiki aliyefanikiwa katika maisha kuwa na urafiki na rafiki ambae...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumekuwa na hali ya sitofahamu kwa sisi watanzania tuonaofanya kazi katika viwanda vya wachina hapa eneo la mirungu kibada barabara ya kuelekea dar es salaam zoo Tunafanya kazi masaa 12 kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naelekea kigali sehemu gani hatari na za kula bata pamoja na upepo mwanana na maisha ya kule vipi
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Poleni na mihangaiko, Nimekaa na kuwaza,Tukilala tunafunga milango,je tunajisitirije tukilala?ikitokea ukafa ukiwa usingizini,yaani ulale usiamke mtu au watu watakao kukuta kwa mara ya kwanza...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Kuna watu wengi wamekuwa wakiita Prof. so and so kirahisi sana. Wengine kwa sababu walipewa nafasi ya kuwa honorary lecturer kwenye baadhi ya vyuo, si kwa sababu wana academic credentials zile za...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Ndugu zangu katika jina la Tanzania, Inabidi tujitathmini kwani yajayo baina yetu si mazuri hata kidogo. Watu wenye fursa yakuongea na wenye ushawishi (baina yetu watawaliwa, viongozi wa dini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam. Msinishangae jamani hapa nalia machozi,nimemiss Kibiti_Rufiji_Pwani, Tarafa ya wamatumbi na wandengereko, bila wamasai na wasukuma,bila vita ya wakulima na wafugaji,tukilima mpunga...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Hongereni airtel kwa tangazo lenu la la voucher ya tsh.200. Ni kiasi gani huwa nachoshwa na matangazo mengi ya kibiashara ktk televisheni za hapa Tz, kwa kiasi flani hili la Airtel nawapa shotuot...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tasnia ya habari Tanzania imepata pigo baada ya kumpoteza Seth A.K.A Bikra wa kisukuma aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha habari cha Efm Rest in peace Jamaa
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kwa kweli hawa watani zetu wa huko kusini wanahitaji kupatiwa semina elekezi ya kiuchumi waweze kubadili hali zao za kimaisha kupitia fursa hii, maana sidhani kama wengi wana elimu nzuri ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Card yangu imeshaunganisha na Huduma internet banking najribu kujisajili na paypal ila naambiwa card not accept kitu kingine ni kwamba nilishafanya boost post Facebook kwa kuidirect moja kwa moja...
1 Reactions
3 Replies
773 Views
Zaidi ya kaya elfu hamsini katika vijiji sita vya wilaya ya Arumeru zinatarajia kunufaika na mradi wa maji safi na salama utakao endeshwa kwa kiteknolojia mpya ya kulipa kwa kadiri wanavyotumia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jaman wana JF habarini.!mwenzenu naomba kuuliza juu ya ukusanyaji wa zile 300/= zetu pale langoni kuingia stand, Je zina tija kweli maana sioni kazi yake kama tunavyoona wenyewe stand jinsi ilivyo
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake? Hii ni protocol ya wapi kwanza? Mkuu wa mkoa wa Dar kutembelea Kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa...
15 Reactions
108 Replies
13K Views
Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye ukubwa sawa na wa Dunia ambazo zinaizunguka nyota mojawapo kama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom