Ngeleja karudisha pesa kwa nani?

Clarity

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
1,585
2,083
Katika kutafuta kiki Ngeleja ametangaza kurudisha pesa aliyopewa na Ruge kiasi cha shs milioni 48.Je pesa hizo anamrudishia nani?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Naulza hiviii,,wakati anazirudisha kaziweka kwenye sandarusi au kiroba..

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kujikomba tu,anadhani atarudi nishati na madini?ila hata akirudi sitashangaa maana wanasemaga ccm ni ileile
 
Anatafuta Kiki kwa bodaboda,anyway mwanzo mzuri na ruge na arudisha,chenge!kilaini nk nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom