The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Wakuu, naombeni kujuzwa vipimo kwa vitu vifuatavyo:
(1)Upana(kwa kawaida)wa kabati za vyombo milango mitatu.
(2)Upana wa kabati kubwa za nguo(nadhani pia zinakuwa milango mitatu).
(3)Je, madirisha haya ya vioo(tinted ) yanapatikana kwa ukubwa(size) yoyote? au size zake ziko fixed?
Nina kichumba kidogo na ninahitaji hivyo vitu wakuu so, sitaki nivichukue kwa kukurupuka vikakosa nafasi au chumba kikabana sana, pia ninataraji kujenga na ningependa dirisha la sitting room liwe pana iwezekanavyo(6 ft) na liwe la vioo(tinted) sasa hapo sijui kama inawezekana.
Sihitaji nifanye maamuzi ya kukurupuka bila maarifa naombeni mnifumbue macho kwa hayo wataalamu!
Sent from my HUAWEI Y221-U22 using JamiiForums mobile app