Nina mgonjwa wangu nilimpeleka pale hospitali ya kairuki juzi saa 6 mchana, alikua anaumwa sana sanaa lakini cha kushangaza wao walivyompokea walimwekea drip tu na wakasema wamechukua vipimo na...
Kama wewe ni muislam, mkristo, mpagani au huna dini. Ni kipindi kizuri sana cha kuiombea nchi yetu kwa imani yako. Ili utukufu na amani ya Tanzania iendelee kudumu milele na Mungu awe kiongozi...
Wanabodi,
Safari ya kuzimu haihitaji mwili wako, kinachokwenda kuzimu ni nafsi yako tu. sasa kama unakwenda huko moja kwa moja basi mwili wako huzikwa na ndugu zako kama msiba wa kawada, lakini...
Hawa watu wanajua kabisa kwamba mfumo wao wa mawasiliano ya EFD machines na database yao hauko stable tangia alhamisi ila wamemwaga wakaguzi mitaani kukamata wale waliokuwa hawajatuma report ya...
Nimeshangazwa na shirika la posta lililoko mahututi kuweka gharama ya kupokea vifurushi vidogovidogo ambavyo vinaingia hata kwenye mfuko wa shati, mtu unalipia sanduku kila mwaka halafu bado na...
KUKABWA NA JINAMIZI NINI MAANA YAKE? NA
NJIA ZA HARAKA ZA KUEPUKANA NA KUKABWA NA JINAMIZI
KUKABWA NA JINAMIZI NINI MAANA YAKE?
Kukabwa na Jinamizi katika ndoto kama tunavyoita ni kitendo...
Kwanza nipende kumpongeza rais kwa project hii kubwa,najua itahitaji fedha nyingi sana kuikamilisha, naomba nasisi watumishi wa umma tutoe mchango maalumu wa sh 5000 kila mwezi (nje ya kodi)...
Behind the scene; kifo cha betty.!
Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa wengine. Lakini siku zote ninaamini katika...
Heshima zenu wana jf nilikuwa Nina wazo ivi mnaonaje tukachagua kiwanja ambacho kila weekend kinakuwa kinatukutanisha
Mimi upande wangu napendekeza sehemu kuu tatu kwa wale wana jf...
Serikali imeziagiza mamlaka za miji nchini kuwavunjia mara moja watu ambao wananzisha ujenzi katika maeneo ambayo hayajapimwa kwani kwa sasa Serikali imeweka mazingira rafiki ya watu kumiliki...
Huu mtindo wa kukata tissue kwenye ma bar ulitoka wapi? mana niko sehemu kuna mteja analalamika kwanini amepwa tissue ambayo haijakatwa?
Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
Nipo Makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari, sijawahi kuona baridi kama hili la Centigrade 8.
Nimejaribu kucheki kanda nyingine lakini haijafikia balaa la Makete.
Iringa 15C
Mufindi...
Wandugu,
Nimeshangaa sana nilienda kwenye ATM ya bank pendwa falani hivi, sitaki kuitaja jina kwa heshima yao. Nikakuta salio limepungua nikapiga simu kwa mtoahuduma kwa wateja akaniambia...
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi
1. ukifanya maamuzi ya kuishi...
Nyumba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Bw. Reginald Mengi iliyopo mitaa ya Kinondoni, ambayo ndio anayoishi, leo hii imepigwa alama ya X kwa ajili ya zoezi la bomoa bomoa linaloendelea...
Habari za majukumu wana JF,
Mimi ni kijana (27) nafanya kazi sector binafsi kwa malipo ya tsh. 560,000/= per month take home.
Nimetimiza miezi 11 tangu nianze kazi na nimefanikiwa kuwajengea...
Wamenisimamisha kwenye taa sa Sarender Bridge, wakasema wanataka wakague Mafuta. Akaangalia gauge kwenye dashboard akakuta kuna nusu tank, akauliza risiti. Nikamuuliza risiti ya nini? Eti ya...
Hospitali ya Amana, mwanamke mmoja amedaiwa kugoma kutoka wodini baada ya kujifungua mtoto njiti wa jinsia ya kike na kuambiwa mtoto apelekwe Muhimbili kwenye huduma nzuri kwa watoto wa aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.