Kumetokea ajali ya moto katika chuo cha kilimo Mtwara(MATI-Mtwara). Moto huo umetokea majira ya saa tatu asubuhi leo hii, Umeunguza bweni la wasichana linalochukua takribani watu 70. Chanzo cha...
Nimekuwa nikiandika mada mbalimbali hapa JF kuhusu mtu mweusi kutokana na mapungufu makubwa ninayoyaona kutuhusu japo huwa sieleweki na wakati mwingine kushambuliwa ingawa nimekuwa sichoki...
Habari za leo ndugu zangu,
Napenda niulize wana JF kuwa eti kuna habari imevuma kuwa ukitumia mboga za majani kuna mdudu anaitwa dudumtu ni kweli yupo?
Madhara yake nini? Na kama ni hivyo kweli...
Mwitikio wa watu ni mkubwa. Lakini utaratibu ni wa kukatisha tamaa. Foleni ni ndefu lakini wahudumu wachache mno. Mara utasikia mtandao uko down. Yaani ni vituko.
Sent from my SM-J111F using...
Wajamaa wanaamini chanzo cha utajiri wote ni ardhi, bila ardhi hakuna utajiri, wakati Mabepari wanaamini chanzo cha utajiri wote ni kazi, bila kazi hakuna utajiri.
Katika Dunia ya leo, ubepari...
ndugu zanguni usiombe msiba ukukute usikie tu kwa jira
Niliwaonea huruma sana hawa binadamu wenzangu na muda mwingine kutokwa na machozi pindi nilipo wakuta wakipewa kichapo baada ya kukwapua...
Kwangu mimi thread ya maana kuliko zote ni hii.
Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa
Hapa ndipo unaona manufaa ya JF, by 95%, not otherwise. 5% iliyobaki ni mastory ya...
Habari zenu wandugu.
Kama unafuatilia siasa za kimataifa nadhani hukipitwa na kauli ya Rais wa Ufaransa ya kuwakejeli waafrika.Waafrika kuwa tunazaana hovyo na hatuna ustaarabu.
Pia hata Donald...
Manesi wa hospitali ya Kairuki wamekuwa wakiwajibu vibaya wagonjwa na pia ndugu wa wagonjwa.
Pamoja na kutoruhusu watu kulala na wagonjwa wao, manesi ambao walitakiwa wawe wanawatembelea...
Mamlaka ya Mapato nchini leo imetangaza kuwa imeongeza tena siku nyingine 15 za muda wa kulipia kodi ya majengo hadi Julai 30.
====
MAMLAKA ya Mapato(TRA) iliwatangazia wamiliki wa majengo...
Habari wanajamii!
Binafsi sio shabiki wa mchezo wa miguu ila ni mdau mkubwaa wa maswala ya michezo kwakuwa mashindano ya michezo yanaleta burudani, Afya njema na kutoa ajira na kuinua vipaji kwa...
Shalom wakuu.
Na mimi leo nimeshawishika kukumbuka kidogo mambo ya zamani hasa wale waliokulia katika mji wa Dodoma kuanzia miaka ile ya themanini hadi tisini. Nakumbuka kipindi kile kulikuwa na...
Nimejaribu kuangalia siasa za watu wa bara fulani na maisha yao kwa ujumla nikajikuta nafiki hii conclusion(theory).
Inawezekana uumbaji ulifanyika kwa majaribio na kulikuwa na maboresho (model)...
Nakumbuka wakati beer hii ikitoka Kenya ilikuwa na wapenzi wengi mno!Baadae ikaadimika sana tukaambiwa Serengeti waliinunua na hivyo itaanza kutengenezwa Tanzania.
Walipoanza kuileta sokoni Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.