Recently there has been a lot of talk about Allah being a muslim God to the extend that some members going below the belt [insultive].
My firm belief is that JF offers us with opportunity to...
OCCID Makambako maarufu kama Yesaya Sudi, amekuwa bingwa sana wa kuchomekea watu makosa kwa kutafuta rushwa kinguvu,jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini litaleta vurugu kati ya wananchi na...
Habari wadau! Kuna ndugu yangu amepata division three ya 14 combination ya CBG. Matokeo Yake ni kama ifuatavyo. GEOGRAPHY-D CHEMISTRY- E .BIOLOGY- E. GS- S. Naomba tumsaidie kumshauri asomee...
Ni mchanganyiko wa sukari na gesi za mlipuko. Nimeitaimu hiyo chupa ilikuwa kwenye freezer
Halafu ukitaka kuona Iraq iangushe hiyo chupa kwa nguvu ipasuke.
Nilikuwa mdogo sana lakini naikumbuka kama jana!
Viwanda vya nguo kochokocho Mwatex, Urafiki, nk. Bora, chuma, mbolea, SIDO nk.
Shule ilikuwa na maana. Ukipasi la saba wewe umetimia hakuna...
Wataalamu wa maji na miamba karibuni katika mjadala. Swali, maji ya mto yanatoka wapi? Maji yanatoka kwenye chemichemi ndani ya ardhi. Je, kulima juu tu kunaharibuje chemichemi hiyo!
Maji...
Habari Kwa mfano ukapata nafasi ya kuanzisha na kumiliki mtandao wa simu wenye wateja wengi na mafanikio kuliko kampuni nyingine.
Mimi Kama Bosi ningetumia Sana internet kwa siku ningeshusha Gbs...
Kipindi cha mwaka 2005 hadi 2015 ( awamu ya Nne ) nilikuwa nafurahi na nafarijika mno kila mara iwe nikisikiliza Radio au nikitizama Luninga halafu nikawaona hawa ' Utatu Mtakatifu ' akina...
Muda huu kituo cha kimara ,Abiria wa kiume akiwa na mwanae aliamua kumpiga picha binti yake akiwa ameketi kwenye Yale mabenchi ya kusubiria Gari, Ghafla akatokea mgambo wanaolinda na kumwambia...
DEREVA wa basi la abiria la AM Coach, Andrea Jafari (42) amefi kishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi kwa kosa la kuumua twiga anayekadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni...
Naombeni ushauri wadau,
Dogo kapata III ya 14 combination ya PCB kidato cha 6.
GS - F
Physics - D
Chemistry - E
Biology - E
BAM - D
Ataweza kutapata MEDICAL college MD ?
Tunaomaba ushauri...
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na mzungu fulani, mti mrefu kuliko yote Africa pia umegunduliwa juzi tu chini ya mlima huo na mzungu, na wiki iliyopita mzungu amegundua simba jike akimnyonyesha...
Jamani karibuni sana mshiriki Tamasha Jinsia mwaka huu 2017 linalotarajiwa kufanyika.katika viwanja vya TGNP.Mabibo kuanzia tar 5 hadi 9 Septemba. Unaweza kushiriki kwa kufanya maonesho au kutoa...
Huenda nitawakera na kuwaudhi wengi,ila sina namna;nitasema ukweli tu,ili wengi wapate kupona. Taifa liko katika mhemko mkubwa. Mhemko uleule wa miaka yote lakini yote yanatokana na kumezwa na...
Kuna Trafic mmoja alikamata sana jiji la Dar hasa kwenye makutano ya barabara za Mwenge,Bamaga na Sayansi kwa staili yake ya kuongoza magari hasa nyakati za asubuhi na jioni.
Wengi walifurahia...
SINEMA linaendelea.Bi Stara Soud, mke wa kijana alinayedaiwa kutobolewa macho na mtu mmoja anayetajwa kwa jina la Saluma Njwete ‘Scorpion’, Said Mrisho, aliebuka na madai mazito ya kutelekezwa na...
Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina.
Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari.
My take...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.