Hivi ndivyo CCM walivyotufanya watanzania

Wewe umefanya nini bila kutegemea CCM, unallamika wakati wengine wanasonga mbele...je haujiulizi lipi haujui na vipi kuulizwa ukafundishwa nawe ukawa kama ambao hawalalamiki?

Ungetaja hayo unayolalamikia na wewe upo kwenye lipi haswa upande wako.

Zaidi ni porojo, CCM haiwezi kukuwekea chakula mezani. Umeibuka na kujiandikia tu
 
Moja: CCM imeharibu uchumi biashara zimefungwa, viwanda vime collapse,

Weka na la kwako, twende kazi.
If you want to have better life, the secret is to change your mindset and have a positive look of the environment around you. This will enable you see opportunity in adversities instead of whining. If you don't, then be ready for a worse life than you have now irrespective of whoever or whichever party is in power.
 
Moja: CCM imeharibu uchumi biashara zimefungwa, viwanda vime collapse,

Weka na la kwako, twende kazi.
Vinaibuka viwanda vya kichina na Wachina hybrid of neocolonialism [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe umefanya nini bila kutegemea CCM, unallamika wakati wengine wanasonga mbele...je haujiulizi lipi haujui na vipi kuulizwa ukafundishwa nawe ukawa kama ambao hawalalamiki?

Ungetaja hayo unayolalamikia na wewe upo kwenye lipi haswa upande wako.

Zaidi ni porojo, CCM haiwezi kukuwekea chakula mezani. Umeibuka na kujiandikia tu
Watu wamekusanyika kwa mujibu wa sheria ili wapange cha kufanya ccm imetuma mipolisi kwenda kuwakamata!!!

Nawe unakuja na kipini puani eti "Umefanya nini"?
Pusi keti wewe!!!
 
Wewe umefanya nini bila kutegemea CCM, unallamika wakati wengine wanasonga mbele...je haujiulizi lipi haujui na vipi kuulizwa ukafundishwa nawe ukawa kama ambao hawalalamiki?

Ungetaja hayo unayolalamikia na wewe upo kwenye lipi haswa upande wako.

Zaidi ni porojo, CCM haiwezi kukuwekea chakula mezani. Umeibuka na kujiandikia tu
Mpendwa nchi iko mnadani dalali mkuu ni ccm mteja mzuri ni mchina

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Vinaibuka viwanda vya kichina na Wachina hybrid of neocolonialism [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Post sent using JamiiForums mobile app
solution..?
 
Nafikiria kuyawaza maisha yangu zaidi kuliko kuiwaza ccm,

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
CCM imefukuza maelfu ya watu kazi kwa kigezo cha vyeti na kumuacha Bashite akipeta.
 
CCM imewafanya watanzania, nanukuu "WAPUMBAVU na MALOFA"
 
Too late

Post sent using JamiiForums mobile app
if it's toolate don't blame!.. mfumo sio katiba!,mfumo ni watu... we have problem called "ujinga" hatuoni thamani yetu wala ya kile tulichonacho ule wivu wa maendeleo umefia jangwani! inside tunaona CCM kama tatizo but outside wanaona WATANZANIA wenyewe ndo tatizo.. we are the broblem.. hata tukisema neocolonialism ni tatizo lkn ni nani anaefungua bomba ili maji kupita..? we are the broblem!
 
Gari ina madereva wangapi?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom