Nimejikuta nawaza hivi kuhusu uumbaji

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Nimejaribu kuangalia siasa za watu wa bara fulani na maisha yao kwa ujumla nikajikuta nafiki hii conclusion(theory).

Inawezekana uumbaji ulifanyika kwa majaribio na kulikuwa na maboresho (model) kadhaa kabla ya kupata uumbaji wa mtu bora zaidi.

Inawezekana race fulani ndio ilikuwa ya kwanza na baada ya kuona ina mapungufu maboresho yakafanyika ikaumbwa race nyingine bora kuliko ile ya kwanza na maboresho yakaendelea kuanzia rangi,akili,n.k kabla ya kupata ile race bora kabisa na ya kiwango cha juu.

Yaani ni kama vile history ya utengenezaji wa computer(computer generations) kutoka zile computer za kizamani mpaka hizi modern computer za leo ambazo zimekuwa zikiboreshwa kila baada ya muda(waliosoma mambo ya computer watakuwa wananielewa).

Inawezekana kabisa kila race baada ya kuumbwa ilitengewa ardhi yake ambayo leo hii ndio tunaita mabara ya hii dunia.

Kuna mambo mengi sana nimetafakari mpaka nimejikuta nafiki hii conclusion (theory) ambayo ningekuwa na uwezo ningeifanyia utafiti kui-prove.
 
Yote hayo baada ya kuona Trump kaapishwa, baada ya chama tawala kuachia madaraka kiroho safi.
Kinyume na hapa kwetu, kwahiyo waafrika tuliumbwa kwa majaribio!!! Acha kujidhalilisha.
 
Nimejaribu kuangalia siasa za watu wa bara fulani na maisha yao kwa ujumla nikajikuta nafiki hii conclusion(theory).

Inawezekana uumbaji ulifanyika kwa majaribio na kulikuwa na maboresho (model) kadhaa kabla ya kupata uumbaji wa mtu bora zaidi.

Inawezekana race fulani ndio ilikuwa ya kwanza na baada ya kuona ina mapungufu maboresho yakafanyika ikaumbwa race fulani na maboresho yakaendelea kuanzia rangi,akili,n.k kabla ya kupata ile race bora kabisa na ya kiwango cha juu.

Yaani ni kama vile history ya utengenezaji wa computer(computer generations) kutoka zile computer za kizamani mpaka hizi modern computer za leo ambazo zimekuwa zikiboreshwa kila baada ya muda(waliosoma mambo ya computer watakuwa wananielewa).

Inawezekana kabisa kila race baada ya kuumbwa ilitengewa ardhi yake ambayo leo hii ndio tunaita mabara ya hii dunia.

Kuna mambo mengi sana nimetafakari mpaka nimejikuta nafiki hii conclusion (theory) ambayo ningekuwa na uwezo ningeifanyia utafiti kui-prove.

Ninadhani upo sahihi isipokuwa katika suala la 'uumbaji' kwani hapo umekaa ki-imani zaidi ya kiutafiti, kama ulivyoainisha awali. Maoni yangu, tatizo litakuja utakapo changanya imani na 'utafiti'. Imani haina utafiti kwani tayari unaamini hivyo na hakuna mjadala. Utafiti hauna kuamini, mjadala ndiyo msingi mzima wa utafiti (sayansi).

Kuhusu utafiti hilo halina mashaka, Mkuu. Inawezekana inaumiza kufikiria hivyo lakini ushahidi tosha kuthibitisha kwamba kuna tofauti kubwa baina ya mabara na watu kwenye mabara hayo. Kwa kifupi sana: kama binaadamu asili yao Afrika, hususan Afrika ya kati (mashariki ya Kongo, Rwanda, Uganda na Tanzania magharibi) kutokana na vinasaba tunavyoshirikiana na nyani (chimpanzees) na sokwe 98.9%, kisha ukaenda Bonde la Olduvai kwenye mabaki ya nyayo za kale zaidi, basi unaona jinsi gani kutoka mitini binadamu wa kwanza wakivyoshuka, wakaingia Mbuga za Serengeti, Bonde la Ufa na kuelekea Ethiopia kabla ya kuvuka kuingia Bara Asia.

Mlolongo mzima wa safari hii, mamilioni ya miaka ulikuwa unambadilisha kiumbe huyu kutokana na mazingira aliyopitia: kuanzia nywele, ngozi (melanin) mpaka ukubwa wa ujazo wa ubongo. Ukubwa wa ubongo uliongezeka kutokana na changamoto kiumbe alizopitia. Wale waliobaki 'nyumbani', ubongo ulibakia vilevile. Ushahidi zaidi kuhusu hili nenda Mahale, Gombe au Virunga, Hifadhi za Taifa, Tanzania na Rwanda/Uganda.

Huu ni utafiti, ushahidi upo. Ila imani itakwambia miaka elfu sita iliyopita kulikuwa na 'uumbaji'. Hapo siwezi kukupinga kama hivyo ndivyo unaamini.
 
Asante sana kwa mchango wako huu wenye kiwango.
 
ha ha! kwa jambo hilo nadhani waafrika ndio wakwanza wakafuata wengine lkn kama ni races mbona kuna wengine wa kundi la chini wanawazidi akili kundi la juu..?
 
Jiulize mwenyewe ni kwanini ume-conclude hivyo.

Jiulize pia kwanini hukuwaza vice versa.
Conclusion huwa zinafunga mipaka ya kufikili. Jamaa ndo kaishia hapo hawezi kufikili tena. Ndivyo tulivyo wa afrika badala ya Ku generate thinking tuna jump to conclusion, tuna safari ndefu afrika
 
Pyramids ziko Afrika. Kwa maana hiyo Waafrika walikuwa wameendelea kuliko mataifa mengine yote zamani kabisa. Bila shaka kuna makosa walifanya yakasababisha tuwe hapa tulivyo kwenye umasikini mkubwa na kudharaulika dunia nzima
 
Conclusion huwa zinafunga mipaka ya kufikili. Jamaa ndo kaishia hapo hawezi kufikili tena. Ndivyo tulivyo wa afrika badala ya Ku generate thinking tuna jump to conclusion, tuna safari ndefu afrika
Wewe na mleta maada wote nimedharau na siyo kuwa siwezi kufikiri tena kama unavyojidanganya. Mleta maada anadai weusi waliumbwa kwa majaribio sababu ya umaskini alionao wa kufikiri.

Halafu na wewe unamuunga mkono, Inasikitisha, Nachelea kusema Nyie ndiyo wale wavivu wa maisha ambao mnadiriki kusema "BORA KUZALIWA MBWA ULAYA KULIKO BINADAMU AFRIKA.,"
 
Leo hii tena nimeikumbuka hii mada kutokana na haya yanayoendelea.

Mkuu kuna kale kalaana kalikopewa yule mtoto wa Rutu aliyemcheka babaye ati amelewa na akawa yuko uchi,na mtoto yule ni wa RANGI yetu,nahisi kama tulipewa kijilaana fulani hivi,maana hatuko sawa kiakili.
 
Wewe na mleta maada wote nimedharau na siyo kuwa siwezi kufikiri tena kama unavyojidanganya. Mleta maada anadai weusi waliumbwa kwa majaribio sababu ya umaskini alionao wa kufikiri.

Halafu na wewe unamuunga mkono, Inasikitisha, Nachelea kusema Nyie ndiyo wale wavivu wa maisha ambao mnadiriki kusema "BORA KUZALIWA MBWA ULAYA KULIKO BINADAMU AFRIKA.,"
Leo hii si umesika waandishi wa habari wamepewa lift bila kuomba

Fungua huu uzi hapa chini ujionea:

News Alert: - ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na waandishi wawekwa chini ya ulinzi shuleni Lucky Vincent

Sasa sijui bado utakuwa unabisha kuhusu hii mada?
 
Umefikiri sana, yawezekana kwa kweli! Na asilimia kubwa yawezekana bara letu ilikuwa sampuli ya mwanzo kabisa na haijaboreshwa, watu wa europe na asia ni maboresho ya sampuli ya awali ambayo ni sisi. Yawezekana kabisa!
 
Nashukuru umenielewa na umeniunga mkono.
 
Back
Top Bottom