chiba philemon
Member
- Jun 24, 2017
- 31
- 9
Habari za leo ndugu zangu,
Napenda niulize wana JF kuwa eti kuna habari imevuma kuwa ukitumia mboga za majani kuna mdudu anaitwa dudumtu ni kweli yupo?
Madhara yake nini? Na kama ni hivyo kweli mbona wataalamu wa afya hawautangazii umma wa watanzania? Kila kukicha mboga za majani zinauzwa sokoni? Niwekeni wazi na hiki kioja ndugu zangu.
Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app