Sio kuongeza tu..waboreshe mfumo wa ulipaji...ni usumbufu..mambo ya kujazana na kusukumana kwenye foleni ni mambo ya karne nyingi zilizopita...mlipa kodi hapaswi kulipa kwa shida
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Me niliwaona wapuuzi ati mtaa ilipo nyumba yangu haipo kwenye system zao nimeenda na hati bill za umeme na maji bado hawaoni kwenye system yao wakadai nilete picha za nyumba nilikuwa nimebeba wakadai nyumba unathamani gani nikawaambia bei ya miaka hiyo ati wakaanza kusikiliza wengine yaani usumbufu mkuu watu wamejaa hakuna utaratibu foleni kipuuzi tu... haiishi... kila kitu ni kukurupuka.. nimewaambia kama nyumba yangu hamuioni kwenu naenda zangu kodi mmeikosa na siku mkiamua kuja nitawalipa maana hamna haraka ya Kodi yenu.. kama fine ni bora kuliko upuuzi wa kupoteza siku kadhaa kwenye foleni... haki tunanunua nini fine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.