La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 406
- 592
ndugu zanguni usiombe msiba ukukute usikie tu kwa jira
Niliwaonea huruma sana hawa binadamu wenzangu na muda mwingine kutokwa na machozi pindi nilipo wakuta wakipewa kichapo baada ya kukwapua vipochi vya watu sikujua kama huruma ile ni kwasababu hayaja wahi kunikuta
Ila kwa walichonifanya leo kunichukulia mia tano yangu niliyotoka kukopa kwa mama Aisha ili niweze kusogeza siku nimeapa nikimkuta mkwapuaji yoyote anapewa kisago sita muacha nami lazima nimpe za uso maana wamesha nipandisha mori .
Ile huruma niliyokuwa nayo mwanzo tupa kule lazima aonje mkong'oto wangu japo sijui kurusha hata ngumi ila nitaenda judo kwa ajili yao