Shalom wakuu.
Na mimi leo nimeshawishika kukumbuka kidogo mambo ya zamani hasa wale waliokulia katika mji wa Dodoma kuanzia miaka ile ya themanini hadi tisini. Nakumbuka kipindi kile kulikuwa na...
Nimejaribu kuangalia siasa za watu wa bara fulani na maisha yao kwa ujumla nikajikuta nafiki hii conclusion(theory).
Inawezekana uumbaji ulifanyika kwa majaribio na kulikuwa na maboresho (model)...
Nakumbuka wakati beer hii ikitoka Kenya ilikuwa na wapenzi wengi mno!Baadae ikaadimika sana tukaambiwa Serengeti waliinunua na hivyo itaanza kutengenezwa Tanzania.
Walipoanza kuileta sokoni Mimi...
Mkurugenzi Mtendaji wa HESB, Abdurazack Badru
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESB) imesema haijalishi mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu alipatwa na kadhia ya vyeti feki au alifeli...
Hii inatoka ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa kutoka kwa wafuasi wake wa karibu jana nilikuwa naye maeneo tukipata mwendokasi alinigusia kuhusu Harakati zao jinsi walivyoweza kutumia mbinu chafu za...
Mbeya, Tabora vinara wa kuzalisha kuku wa kienyeji
Sehemu kubwa ya wananchi hili wanaamini mikoa hiyo ndiyo inayozalisha kuku hao kwa wingi.
Soma zaidi...
Police wa Tanzania ni watu wasiofata sheria tumeona namna ambayo police walivombeba kibindo au tanganyika jeki yule shabiki tena police kama watano in same time hii sio haki kabisa.
Ushabiki kama...
Naangalia Star Tv, Novatus Makunga, leo kumbe yupo Star Tv mtangazaji! Ripota ! Mh, dunia gunia!
Enzi za madaraka!
Novatus Makunga mkuu wa wilaya ya Hai anatumia msafara?
Wana JF naomba kutoa hoja yangu na michango yenu iifikie Wizara ya Elimu. Nimepokea wanafunzi na wahitimu ili wafanye mazoezi ya vitendo na nikagundua kuwa mitaala ya elimu haitajenga nchi...
*Breaking News! HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017* Breaking News! HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017 - MALUNDE 1 BLOG
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Leo nimeona tangazo la ccm limerushwa star tv,huku sauti ya Mh.Tundu Lissu ikiwa katika tangaZo hilo.Jee ni sawa tangazo la ccm kutumia picha za lowasa au sauti ya Lissu bila ridhaa ya wahusika...
Wana bodi.
Pamoja na mambo mengine nimeshindwa kuielewa management ya startv na sahara media kwa ujumla.. Ikumbukwe baada ya uchaguzi mkuu 2015 kituo hiki cha tv kimepitia magumu mengi ikiwa ni...
Abiria tumekwama KIA toka jana na leo tumeamkia hapa uwanjani lakini bado hatujui hatima yetu kama tutasafiri
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Hii inatoka ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa kutoka kwa wafuasi wake wa karibu jana nilikuwa naye maeneo tukipata mwendokasi alinigusia kuhusu Harakati zao jinsi walivyoweza kutumia mbinu chafu za...
Kifupi ni kwamba wenye mamlaka katika utawala huu wamekuwa wanyanyasaji kwa wanao watawala tena wakati mwingine wananyanyasika hadi kwenye mambo ambayo ni haki yao kabisa kumeibuka uongozi wa...
Niko hapa nafwatilia msiba wa Joseph nkaissary namwona lowasa nae yumo ama Kweli wamasai wanapendana nimevutiwa na umoja wao usio tambua mipaka ya nchi hongereni sana wamasai wa tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.