Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake . Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City...
7 Reactions
138 Replies
14K Views
Baada ya jana Baraza la Mitihani kutangaza matokeo ya kidato cha sita, kumetokea sintofahamu kwa wazazi na walezi wa waliokua wanafunzi wa shule za sekondari za Mtakatifu Vicent ya Tabora na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kapanda jamaa mmoja kwenye daladala moja ktk viunga vya jiji pendwa na tamaniwa dsm nikadhani ni mtendaji au afisa wa serikali au mwanausalama akituhakikishia usalama raia Mule kwa ile kaunda...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Binadamu tumekuwa tukipambana huku na huko katika harakati za kutafuta mafanikio katika maisha na mtu akishayapata huanza kumaintain ili yasishuke, sasa ndio tayari umeshapata mafanikio so what...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
WAZIRI wa Nchi anayeshughulikia Uchukuzi nchini Uganda, Bagiire Aggrey Henry, ameusifu Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kwa namna unavyosaidia kurahisisha huduma ya usafiri jijini Dar es...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Jana kulitoka taarifa kuwa mashindano ya ndondo cup yamezuiliwa kufanyika katika uwanja wa bandari kama ilivyopangwa awali hivyo yatafanyika uwanja kinesi.Wengi wanamtumia lawama RC wa Dar lakini...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari? Leo nimeyakumbuka majani tuliyokuwa tukiyaita 'kimavimavi' Yananuka kama au kuliko kinyesi cha binadamu hasa ukiyasugua (kuyafikicha) Tuliyatumia kwa matumizi mbalimbali utotoni...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tanzania waliokutana kwenye kikao cha Baraza la Maaskofu, wamemkataa Askofu wa Dayosis ya Victoria Nyanza, Boniface Kwangu na kumtaka ajiuzulu kazi hiyo...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
In Summary: -Everton wameona Ucheleweshaji Katika kuunganisha ndege -wingi wa Pikipiki na Honi zinazopigwa hovyo Hovyo - Jiji la Dar es Salaam Lina Joto Kali na Kelele nyingi. - Jiji la Dar es...
4 Reactions
142 Replies
16K Views
Waziri Maghembe alikabidhi tuzo hiyo juzi jijini Dar es Salaam na kusema serikali inatambua mchango mkubwa alioutoa, Dk. Goodall, katika uhifadhi wa sokwemtu pamoja na wanyama wengine. Alisema...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
An active volcano in northeastern Tanzania known to the Maasai as the “Mountain of God” has been quietly rumbling—and it is showing signs that an eruption is imminent. Known as Ol Doinyo Lengai...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa wale wakristo wenzangu huu Uzi ni maalumu kwa kutafakari Neno , Weka Neno la bwana hapa tutafakari kwa pamoja, Weka mafundisho yenye hekima ili tuweze kuijenga Roho ile aliyotujaria muumba...
1 Reactions
2 Replies
767 Views
BIASHARA ya magendo ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kutokana nchi jirani ya Kenya, imeonekana kushamiri katika wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara, ikiwa ni siku chache baada ya Mamlaka ya...
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Utafiti wangu wa kienjeji umegundua cocacola ina gesi nyingi kuliko pepsi cola.
1 Reactions
14 Replies
4K Views
nlikua kimya kwa muda kidogo baada ya kuona ile dawa ya mwanzoni ina mchanganyiko wa vitu vyenye gharama kubwa sasa nimekuja na dawa yenye mchanganyiko mwepec kuuandaa na mwepesi kuutumia kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama tunavyojua maji ni bidhaa adimu na ni pesa. Katika karne hii maji sasa hivi yanauzwa kwenye chupa, maji yanauzwa kwa wateja iwe Mijini au Vijijini hivyo maji yana thamani na ni pesa. Maji...
1 Reactions
7 Replies
964 Views
Ni zaidi ya siku tatu toka tujulishwe kuwa ofisi za Sahara Media (wamiliki wa Star Tv, Radio Free Africa, Kiss Fm) zimefungwa na mamlaka ya ukusanyaji kodi (TRA) kwa kushindwa kulipa kodi kwa muda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Walichotaka watakipata, serikali itoe basi tamko, yani watu wanavyolalamika hivi kwenye vyombo vya habari wao kiimya
6 Reactions
79 Replies
11K Views
Nawakilisha mada fupi ili muumize vichwa kuchangia... Swali..Je kwa uchumi tulionao watanzania tunahitaji taarifa za udaku na umbea? Mkokotoo wa swali..hivi ukiujulisha umbea/udaku juu ya maisha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Recently there has been a lot of talk about Allah being a muslim God to the extend that some members going below the belt [insultive]. My firm belief is that JF offers us with opportunity to...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom