Tusker larger mlirekebisha mlichochakachua?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Nakumbuka wakati beer hii ikitoka Kenya ilikuwa na wapenzi wengi mno!Baadae ikaadimika sana tukaambiwa Serengeti waliinunua na hivyo itaanza kutengenezwa Tanzania.
Walipoanza kuileta sokoni Mimi nikiwa mteja namba moja nilifurahi sana!Lakini,ilikuwa bahati mbaya sana kwangu na nilitaka kuacha kabisa kunywa beer!Maana Tusker hii ilichakachuliwa na ikakosa ladha kabisa.
Sasa leo, nauliza,je mmerekebisha mlichochakachua nianze kunywa tena Tusker larger?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye red,ulijuaje kua wewe ndio ulikua "mteja namba moja?"
 
nakumbuka kuna vi tusker vilikuwa vinakuja kwenye chupa ndogo ya kijani, vilikuwa vizuri sana. vilikuwa vinatengenezwa kenya. Hivi hat ukinywa kreti tano hakuna hangover. Sijui kwa nini pombe hii ilipotea sokoni
 
Back
Top Bottom