MAGARI YAMETUPWA

MAGARI YAMETUPWA

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
Iwepo sheria ukiokota gari nje usililipie kodi ya kununua gari jipya
f4bc907e6d7ed54da867f854fe88f188.jpg
 
WAPI HUKO WANAOKOTA MAGARI????

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Halafu wananchi wanapanda bodaboda. Kwanza ingekuwa ni amri yangu ningepiga marufuku usafiri wa bodaboda.
 
Mimi ninalo hata la kumpa mtu bure ila nikifikiria usafiri na ushuru naona work done = 0
 
Nielwkesze uutakapi kuta bmw x3

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sio masihara mtu anaweza kuwa anadaiwa matiketi au gari linahitaji elfu ya matengenezo ndio liweze kuruhusiwa kuingia barabarani mwaka mmoja zaidi. Hapo anaweza kuamua hiyo elfu aweke down payment ya gari jingine akaachana na la zamani. Sasa ukiokota gari la hivyo pia ulipishwe ushuru mkubwa?
 
Back
Top Bottom