Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Tarime-Rorya, linawashikilia watu wawili wakazi wa Mtaa wa Nkende mjini Tarime wakidaiwa kumkata mkono Mkaguzi wa Polisi wa Kituo cha Ngamba Tana-River...
4 Reactions
82 Replies
10K Views
Hata kama yapo maradhi yalitikisa lakini si kama UKIMWI, yalisumbua lakini hatimaye dawa ilipatikana..... Shuguli ipo kwenye UKIMWI, mara utasikia dawa imegunduliwa Hispania, USA n.k kwa sasa...
0 Reactions
65 Replies
13K Views
ROMBO: Waumini wawili wa Kanisa Siloam wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha mapepo na kuwatumbukiza majini. Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani...
2 Reactions
113 Replies
15K Views
Wadau naomba msaada wa ushauri au ufahamu! Kwa kipindi kirefu nimekuwa na matatizo ya ardhi, ofisi inayoshughulikia tatizo yangu ni Land saveyor ya manispaa. Kuna kipindi nilikata tamaa nikaachana...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yusufali Manji (41) bado anaumwa na amepelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yameelezwa leo na Wakili wa Serikali...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Hivi hizi ajira 10 na eshee ndo unanaaply vipi..au wanapangiwa mojamoja Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Wasalamu Kwanza napenda kukupa hongera kwa kutanua wigo wa ajira Tanzania kupitia uwekezajj wako. Ila, kuna hili swala la Azam Pay Tv, Namna ya kununua au kulipia kifurushi Mara baada ya kuisha...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
KUNA meeting ya CAF inafanyika huko Rabat ,Jamani yeyote mwenye ufafanuzi mzuri atuletee humu kuhusu mabadiliko hayo ya AFCON ,maana inasemekana timu zinaongezwa kuwa 24 IKIWEMO TZ YA AKINA LISU...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mara nyingi huwa naona marais, uzinduzi mahari fulani, matamasha na sehemu nyingi hutumia red carpet kama kuonyesha ni inshu VIP kwa maana nyingi inshu ya hadhi ya juu. Swali langu kwanini...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wana JF? Katika hali ya kushangaza leo tumeongeza umeme wa 20,000/= kwa kutumia tigo pesa, nashangaa tumepewa units 28.1 ambazo ni sawa na 711 Tsh per unit!! Je ni kwamba unit moja...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo ilikuwa ni siku ya mazishi ya mke wa Waziri wa Michezo apumzike kwa amani lakini chakusikitisha ni kuwa kazi zote leo silisimama kwa takribani masaa sita barabara zilifungwa kwa kila kiongozi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi nilikuwa mtumiaji wa King'amuzi cha Easy Televisheni, kilichokuwa kinamilikiwa na mwekezaji toka China iliyokuwa na ofisi maeneo ya Morocco - AHM Road, karibu miezi mitatu hawapo hewani bila...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza kupunguza wafanyakazi wake, taarifa ya Mkurugenzi Sunil Colaso imeeleza sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Wakuu, Huko mbele:Mwanza,Bukoba na Kigoma muwe makini! Huku lishapita,sijui zamu ya nani leo! Japo siyo kubwa,ila tahadhari mchukue!
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kujua wako wapi madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama na magonjwa ya moyo, sukari, uzazi, kifua kikuu, presha, kuondoa mafuta na sumu mwilini ambao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii, kama nilivyosema hapo juu bila JPM kuingia madarakani ningeporwa kiwanja baada ya kuwa na maneno maneno kuwa ni sehemu ya wazi kumbe ilikuwa inafanywa figisufigisu ya kutaka...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimeiona taarifa ya habari ya channel 10 saa 1 jioni leo, nimefarijika kuona chombo hiki kinaunga mkono juhudi zote za maendeleo. Huu ndio utaifa, eti kuna mgomo usioisha.... Ha ha haaaaa kwa...
10 Reactions
82 Replies
8K Views
IMENIUMA WAKENYA tena wengine wakiwa wanajulikana kabisa, ni wasomi, madaktari etc, wamewatukana watanzania kuwa ni low rated. Wale madaktari wameitwa low rated doctors from Tanzania. Nikajiuliza...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Kama kuna ukurasa mpya katika vita ya kuziba mianya ya rushwa basi iko Pspf. Shirika hili linasumbua wanaodai mafao kiasi kwamba linahitaji uongozi wa shirika uamke kabla Takukuru haijaanza...
1 Reactions
77 Replies
11K Views
IGUNGA, TABORA: Wizara ya Afya imemsimamisha muuguzi wa Kituo cha Afya cha Igunga, Damian Mguya kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka 18 wodini akiwa anamuuguza Mama yake. Hata hivyo...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom