Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, unamaswali au ungependa tubadilishane mawazo? Nataka nichukuwe nafasi huu kuwakaribisha watu wote wiki hii, tukutane pamoja. Watu wa Dar es Salaam, Nitakuwa nafundisha vijana pamoja na dada...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Watu 3 wameuawa kijiji cha Mkapunda B kata ya Sululu katika halmashauri ya mji wa masasi katika mazingira ya kutatanisha na kufanya wakazi wa kijiji hicho na vijiji jirani kuingiwa na hofu kubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya Payroll ya serikali kugoma na ajira kwenye makampuni binafsi kuzidi kuwa ngumu, vijana wengi waliamua wajiajiri kwenye ajira zisizo rasmi na zisizohitaji mtaji, Obviously betting was the...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waziri Lukuvi tunaomba ufike halmashauri ya ardhi Ifakara idara ya ardhi uone uozo uliopo pale. Unaomba kupatiwa hadi na unazungushwa pasipo kupewa maelezo ya kutosha. Maombi ya hati yabidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kijana mmoja anayedaiwa kuwa jambazi akiwa amedhibitiwa na polisi maeneo ya Ubungo, Mawasiliano asubuhi hii, baada ya kupigwa risasi.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wandugu, Nauliza kama hawa jamaa wana local channel za bure bila kulipia Je zinabaki ngapi kifurushi kikiisha? Moshi kingamuzi chao cha antenna kinakamata vizuri? Ni hayo tu
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimerudi kutoka kazini mida ya saa 12 jioni, nikapaki gari langu ndani ya fence, nikaamua niangalie TV na nakufanya shughuli zangu za ofisini. Baada ya kula mida ya saa mbili, nikaenda kulala...
5 Reactions
50 Replies
7K Views
Zaidi ya Hekari elfu tano za zao la Kitunguu katika kata ya Lobosoit wilayani Simanjiro zimeharibika baada ya kuvamiwa na ugonjwa wa mnyauko hali iliyosababisha hasara kubwa kwa wakulima ambao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi unaposema kila dmo asiponunua folic acid atafukuzwa kazi inamaanisha folic acid inaweza kupunguza vifo vya watoto na wajawazito. Muheshimiwa ebu tafakari kwa upana hivi kinachofanya kazi ni...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Waafrika jamani nani katuroga..hivi panya kweli ana ladha ya chocolate??...like really????!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba SUMATRA wayamulike upya mabasi yote waliyoyapa daraja la juu kwa vigezo vya huduma wanazotoa ndani ya gari ambavyo kiuhalisia huduma hizo hazitolewi kwa mfano basi ina choo ndani, Wi-Fi na...
8 Reactions
91 Replies
11K Views
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu. Leo nimejithibitishia mwenyewe kwamba dharau zangu kuhusu mwenge sivyo. Nilikuwa nasadiki kwamba mwenge ni utamaduni wenye kuenzi Imani potofu kumbe ni...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini dsm linawashikilia madalali bandia 12 wanaodaiwa kuendesha vitendo vya wizi wa shehena za bidhaa za mamilion ya fedha huku wakitumia malori...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati serikali inaelekea kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda wataalamu wa maliasili katika sekta mbalimbali nchini , wamejipanga kuhakikisha wanaangalia mapema mabadiliko ya tabia ya nchi ili...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
katika pitapita zangu huku na kule nilikutana na kijana mmoja aliyepitia kila suruba ya maisha kuanzia wizi hadi uchimbaji wa makinikia lkn hajatoka bado. Alikimbia shule utotoni. anajua...
2 Reactions
2 Replies
842 Views
Kuna uhakiki mwingine wa aina yake unakuja., nasikia unatakiwa kuwasilisha Taarifa zifuatazo. 1. Majina yako matatu 2. File namba 3. Tarehe ya kudhibitishwa kazini 4. Ngazi ya Mshahara 5. Kiwango...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu nawasalim hasa wale wenye maono... Naomba kwa waliosoma mataifa makubwa wanijuze endapo Vyuo walivyosoma kuna kozi za ngazi ya cheti, astashahada - certificate/diplola (ordinary)...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtu kaajiriwa mwaka 2012,mpaka leo 2017 hajapandishwa daraja. (2017-2012=5).sheria za utumishi zinasema kila baada ya miaka 3 tu mtumishi anatakiwa apande daraja. Nasikia toka mwaka 2016 hakuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba niwape pole kwa majukumu yenu ya kila siku na Nitoe asante kwa wengi wenu mnaotumia muda wenu kutoa Elimu/Ufanannuzi wa mambo mbali mbali hapa Jumvini. Nimekuwa katika wingu zito sana...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Back
Top Bottom