Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
KUNA meeting ya CAF inafanyika huko Rabat ,Jamani yeyote mwenye ufafanuzi mzuri atuletee humu kuhusu mabadiliko hayo ya AFCON ,maana inasemekana timu zinaongezwa kuwa 24 IKIWEMO TZ YA AKINA LISU BADALA YA 16 ZA SASA.
Je hii itakuwa fursa nzuri kwa Tanzania kwenda AFCON awamu hii sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je hii itakuwa fursa nzuri kwa Tanzania kwenda AFCON awamu hii sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app