Ahsante media kwa kumuunga mkono Makonda

Ahsante media kwa kumuunga mkono Makonda

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,374
Reaction score
985
Nimeiona taarifa ya habari ya channel 10 saa 1 jioni leo, nimefarijika kuona chombo hiki kinaunga mkono juhudi zote za maendeleo.

Huu ndio utaifa, eti kuna mgomo usioisha....

Ha ha haaaaa kwa maslahi ya nani?
Pongezi kwa channel 10, wengine fuateni achaneni na kuunga migomo yenye sura ya kisiasa na kuwanufaisha kundi fulani na sio wananchi.

Hongereni, mtakumbukwa kwa hili

sweeper
 
Ngoja nao watakavyovamiwa ndio watajua nini maana ya Bashaa ashite!

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Hata kama wewe ni ccm damu kumsapotipashite kwa kitendo alicho wafanyia clouds tv ni uzuzu!

Sent from my HUAWEI MT7-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Mimi wakimuonesha nazima TV au naipasua sitaki kuona msura wake na ndio maana siangaliagi tbc

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Wamebaki wao ndiyo watavamiwa

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Vituo vibaya kimuonekano ndio vinamuunga makonda
Angalia ubora wao hata idadi ya watazamaji au matangazo
 
Haya kuwa mashtaka tukio la wazi na inaeleweka .
Mie sina ushindani wa mawakili. Kaka .Kama. umeona si kweli inatosha kwako .

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom