Nasikitika kuonaw kinachoendelea bank kubwa kama Etc inayothaminika na wananchi
Kunaa dadayetu mmoja ana mkopo tokanjun mwaka Jana na anaendelea kulipa sasa kichekesho majuzi amekwenda kijana...
Ni jambo la kusikitisha sana baadhi ya sheli ndani ya wilaya ya hanang wanauza mafuta ya petroli tofauti na bei elekezi ya EWURA. Bei elekezi ya EWURA ina sema mafuta ya petroli ni shs 2147 sasa...
Mtumishi wa Serikali wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Arusha anayefanyakazi Zahanati ya Mateves amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kitendo cha kuanzisha Huduma za maabara ndani ya majengo ya...
Habari zenu waungwana,
Tarehe 8/7/2017 katika ofisi ninayo fanyia kazi, kulitokea wizi (sikupigwa mimi) ilitokea hivi: Kuna jamaa alikuja kutoa pesa katika mtandao wa voda kiasi cha 270000 baada...
Hebu fikiria unampeleka mama mjamzito hospitali usiku wa saa nane halafu unaambiwa ununue gloves 5 kila moja sh. 2000 na bomba za sindano 3 kila moja sh. 200.
Sasa utaratibu huu ndo unaotumika...
Inaandikwa na MUDA WA UKOMBOZI
Kuna mambo ambayo ni kweli yanatia sana uchungu, hasa nikikumbuka ule ugomvi wa kitoto ambao wakati wa ugomvi, ndondi zimekolea na wakati mwingine unaelekea...
Kumekuwa na tabia ya gari hususani zile za mizigo pindi zinapoharibika kuegeshwa ndani ya barabara au pembezoni mwa barabara. Gari hizi zimekuwa zikikaa bararani kwa masaa mengi hadi wiki kadhaa...
1. February 2005- miss Utalii Tanzania 2005,waweka historia ya kuwa rebo wa kwanza kabla na baada ya uhuru kutwaa taji la dunia (Witness manwingi )
2. October 2005 - miss utalii Tanzania waweka...
Amani kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nimeona niwakumbushe wanajamvi hili kwamba umakini katika kila jambo ndiyo nguzo ya mafanikio.
Ukiwa kazini,kwenye biashara, mchezo hasa ile ya...
Jana kulikuepo na mazishi ya mama Lina Mwakyembe kule Mbeya.Kilichpjitokeza ni siasa zaidi kiliko maombolezo
Kiongozi aliyeongoza shughuli za mazishi akaamua kuonesha ukada wake kwa kauli zake...
Naomba kueleweshwa kwann hiki chama kikuu cha upinzani nchini tz kimeonekana kushinda zaidi katika majimbo na majiji makubwa kama dar , arusha , Kilimanjaro, mbeya mjini , mwanza , bunda , tarime...
Nimeshtushwa na kushangazwa na tangazo la Mihan gas linalohimiza akina mama kutunza afya, kuokoa mazingira na kuepuka usumbufu kwa kutumia gesi ya Mihan badala ya mkaa, je, inamaana bado kuna watu...
habar ya pasaka wandtgu!
hivi jaman ni haki kwel kw watumishi kukatwa kiasi cha kodi kikubwa hivyo hasa kw walimu wenye vijimshara vidogo?
wanakata karibu asilimia 10 ya mshara, lakini bado ild...
Huko Indonesia, jamaa alinaswa pembeni ya mto akiogelea na mamba huyo naakapotea nae,ndugu wamemtafuta wakaamua kumuita mganga. ambae alifanya vitu vyake na baadae watu wakashuhudia mamba...
Wanabody nisaidieni ,nimepata kusikia zaidi ya mara mbili aka tatu kwamba mazao chini ya tani 1 hayalipiwi ushuru:
Sasa huko manyara kuna mabwawa mawili ya samaki ambayo ni Nyumba ya mungu na...
Kutokana na matukio mbali yaliyowahi kutokea,nashauri CHADEMA iangalie namna bora ya kumuwekea ulinzi T-LISSU.Wanajukwaa tulijadili hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati fulani kwa kuwa tumeaminishwa hatuwezi tumeamua kukua tukiamini hivyo na si kuwa hatuwezi isipokuwa tumeamua kuwa watumwa wa fikra tulizojengewa toka awali,
Babaangu aliwahi kuniaminisha...
Ama kweli dunia inaenda kasi,miaka michache tu nyuma hawa Ndugu zetu walioko dar ndio walikuwa wanatutumia fedha sisi mafukara wa mikoani.
Sasa mambo ni tofauti ingawa hali ni ngumu kwa wote,kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.