Poleni sana wana Rungwe kwa kusimamishiwa kazi leo kwa msafara wa magari

kilght

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
634
181
Leo ilikuwa ni siku ya mazishi ya mke wa Waziri wa Michezo apumzike kwa amani lakini chakusikitisha ni kuwa kazi zote leo silisimama kwa takribani masaa sita barabara zilifungwa kwa kila kiongozi aliyepita Ndugai, Majaliwa Makamu wa Rais nk na kila mmoja alipita kwa wakati wake na bila utaratibu mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ilikuwa ni siku ya mazishi ya mke wa waziri wa michezo apumzike kwa amani lkn chakusikitisha ni kuwa kazi zote leo silisimama kwa takribani masaa sita barabara zilifungwa kwa kila kiongozi aliyepita ndungai majaliwa makamu wa rais nk na kila mmoja alipita kwa wakati wake na bila utaratibu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako ni nin??
 
Acheni mbwembe taja kazi zinazofanywa barabarani ?mbona watu huwa wanaacha kaz wanaaandamana,unaweza kusema idadi ya watu waliothirika na zoezi hilo,unataka wasafiri pamoja kama siafu ili mfanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ilikuwa ni siku ya mazishi ya mke wa Waziri wa Michezo apumzike kwa amani lakini chakusikitisha ni kuwa kazi zote leo silisimama kwa takribani masaa sita barabara zilifungwa kwa kila kiongozi aliyepita Ndugai, Majaliwa Makamu wa Rais nk na kila mmoja alipita kwa wakati wake na bila utaratibu mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti cha kusikitisha!! Kwa hiyo ulitaka msafara waPM, makamu Rais na Spika uingiliwe? Ni kawaida kufunga barabara viongozi kama hawa wanapipita labda kama umezaliwa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ilikuwa ni siku ya mazishi ya mke wa Waziri wa Michezo apumzike kwa amani lakini chakusikitisha ni kuwa kazi zote leo silisimama kwa takribani masaa sita barabara zilifungwa kwa kila kiongozi aliyepita Ndugai, Majaliwa Makamu wa Rais nk na kila mmoja alipita kwa wakati wake na bila utaratibu mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
dont wory, it want happen again, RIP mama yetu
 
Acheni mbwembe taja kazi zinazofanywa barabarani ?mbona watu huwa wanaacha kaz wanaaandamana,unaweza kusema idadi ya watu waliothirika na zoezi hilo,unataka wasafiri pamoja kama siafu ili mfanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huna akili kiasi hiki:kazi ya usafirishaji,kilimo,masomo n.k kutokana kuzuiwa kwa usafiri
 
Ndugai, Majaliwa Makamu wa Rais nk na kila mmoja alipita kwa wakati wake na bila utaratibu mzuri.

Utaratibu mzuri unakuwaje ungefafanua huenda itasaidia mahali pengine siku nyingine
 
Back
Top Bottom