IGUNGA, TABORA: Wizara ya Afya imemsimamisha muuguzi wa Kituo cha Afya cha Igunga, Damian Mguya kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka 18 wodini akiwa anamuuguza Mama yake.
Hata hivyo...
kwema wakuu.baada ya applications za ajira portal Leo wamefunga web yao kama ulikua na slight mistake kwenye maombi yako utakuta kwenye view your application ukiview inakuonyesha kwamba je...
Koffi Asilenu , raia wa Ghana ni baba wa watoto 100 na wake 12 na anafikiria kuongeza wengine
Ana miaka 80 na kazi yake ni mkulima watoto wake wana umri kuanzia miaka 50 hadi miaka 11
Anasema hana...
Nmeshtuka kukuta 89.3 frequency ya rfa dsm hawapo wao bali wanapatikana BBC English kwa sasa! Sasa najiuliza, haya ni matokeo ya promo waliompa bashite wakapandishwa viwango au ile promo ilikuwa...
Miss Tourism Tanzania Organisation ,Waandaaji wa mashondano ya Mias Utalii Tanzania,wanakamilisha taratibu za kimkakati ,Mfumo na za kiserikali,ili kuanzisha tens mashindano hayo,yenyemafanikio...
Hili swali niliulizwa na jamaa yangu aliyepeleka maombi sio chini ya 3 kila nafasi za kufundisha FEZA Schools zinapotangazwa, anayo Diploma ya Computer Science, Digrii ya Biashara, Postgraduate ya...
Habari ya mchana naomba niulize toka juzi najaribu kulipia akaunti yangu ya DSTV inakataa, pia nimeenda kwa mawakala wa Maxmalipo pia wao wameshindwa. Niliwasiliana na huduma kwa wateja DSTV...
Hivi karibuni alifunguliwa Haji Manara mwana-Simba kada wa CCM na kijana wa K'koo.Huyu alifungiwa na ile TFF ya kina Malinzi ambao kwa sasa wawili wao wapo gerezani wakisota kusubiri kesi yao...
MAUAJI MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI (MKIRU)
Je ni Ugaidi, Chuki za Kisiasa na Jeshi La Polisi au Ni Uhalifu tu Mwingine!?
1. Je Ni Ugaidi Kama Ule wa Al-Shabab
2. Je Ni Chuki Tu Za Kisiasa
3. Je Ni...
Walimu wa shule mbalimbali za msingi na sekondari wa Manispaa ya Temeke, wamelalamikia usumbufu wanaopata katika zoezi la uhakiki wa taarifa zao kwenye mfumo wa kielektroniki.
Walimu hao kutoka...
Miss Tourism Tanzania Organisation ,Waandaaji wa mashondano ya Mias Utalii Tanzania,wanakamilisha taratibu za kimkakati ,Mfumo na za kiserikali,ili kuanzisha tens mashindano hayo,yenyemafanikio...
Date : 25/05/2017
Office of the President of Tanzania
Republic of Tanzania
Dar-es-Salaam
TANZANIA
Honorable President Sir,
Sub.: Fraudulent activities taken place in Tanzania
This is to bring to...
Wazee wanaoishi katika halmashauri ya mji mdogo wa Nzega Mkoani Tabora wameiomba serikali kufuatilia na kuhakikisha uwepo wa dawa na vifaa - tiba vya kutosha katika vituo vya afya na hospitali ili...
JF Kwenu,
Mkuu wa Wilaya ya Songwe bwana Samwel Jeremiah amesababisha wakaazi wa Mbangala na Sanza kuyahama makazi yao.
Wananchi wameamua kutoroka majumbani kwa sababu ya kitendo cha mkuu huyo...
Wakuu.nimekuwa napata shida sana ! Na majina ambayo tunawapa watoto wetu ama wazazi waliyowapa wazazi wao ambayo baadae huwa yanakuja kushabihiana ama na maisha yao au tabia zao.
mfano
Tabu:
watu...
Mimi ni kijana miaka au ukipenda niite mzee miaka 48 si kidogo, sasa wakuu naomba ushauri wenu ni hvi, nimeajiriwa mshahara sio mbaya , nina watoto 3 sasa shida nimewekeza sana kwenye elimu ya...
Unakuta mtu sasahivi ana miaka 63 ila vyeti vinaonyesha ana 56.
Miaka ya nyuma watu walistaafu na miaka 50 sasa mtu anapiga hesabu nirudi mtaani na miaka 50 ? Nooo ngoja nijibebishe , kwenye...
Je, unamaswali au ungependa tubadilishane mawazo?
Nataka nichukuwe nafasi huu kuwakaribisha watu wote wiki hii, tukutane pamoja.
Watu wa Dar es Salaam, Nitakuwa nafundisha vijana pamoja na dada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.