Je, tokea lini unit moja ya LUKU imefika 700/=??

Je, tokea lini unit moja ya LUKU imefika 700/=??

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
1,339
Reaction score
2,432
Habari wana JF?

Katika hali ya kushangaza leo tumeongeza umeme wa 20,000/= kwa kutumia tigo pesa, nashangaa tumepewa units 28.1 ambazo ni sawa na 711 Tsh per unit!!

Je ni kwamba unit moja imefika 711Tsh??

Tokea lini hii bei imeanza?? Au ni wapi tumekosea??
 
Usikimbilie kuandika huku kabla ya kupata ufafanuzi kwa wahusika ambao ni Tanesco, hiyo ni tabia mbaya
 
Inawezekana kuna madeni unadaiwa hasa kwa mliokuwa mnatumia mita za zamani mkabadilisha na kama ulikuwa na deni hivyo wanafanya ku deduct kwenye manunuzi yako ya umeme kwa kukata units au kuuziwa Units chache kwa pesa nyingi mpaka pale utakapokuwa ume clear deni lako.

Jaribu kuwasiliana na TANESCO mkuu
 
Inawezekana kuna madeni unadaiwa hivyo wanafanya ku deduct kwenye manunuzi yako ya umeme kwa kukata units au kuuziwa Units chache kwa pesa nyingi mpaka pale utakapokuwa ume clear deni lako.

Jaribu kuwasiliana na TANESCO mkuu
Duh, sasa deni gani mkuu maana tunalipa kwanza ndio unapewa umeme!! au mimi ndio sijaelewa ndugu yangu!!
 
Habari wana JF?

Katika hali ya kushangaza leo tumeongeza umeme wa 20,000/= kwa kutumia tigo pesa, nashangaa tumepewa units 28.1 ambazo ni sawa na 711 Tsh per unit!!

Je ni kwamba unit moja imefika 711Tsh??

Tokea lini hii bei imeanza?? Au ni wapi tumekosea??
Hyo Luku itakua inadaiwa wamekaa muda mrwfu hawajalipia inaweza kua monthly charges,inawezakua wakati wa kubadilishiwa mita tokea ya awali zile za kuzunguka walikua wanadaiwa wakapewa mita ya luku huku wakidaiwa ama kuna charges zozote za tanesco inawezekana inadaiwa na wanakata kidogo kidogo ununuapo umeme
 
Huo umeme 28.1 kwh ni wa sh 10000. Itakuwa mnunuzi kakosea.
 
ohooo wapi huko jamaa juzi night nlinunua umeme wa 7000 nlipata Units 19
 
Hyo Luku itakua inadaiwa wamekaa muda mrwfu hawajalipia inaweza kua monthly charges,inawezakua wakati wa kubadilishiwa mita tokea ya awali zile za kuzunguka walikua wanadaiwa wakapewa mita ya luku huku wakidaiwa ama kuna charges zozote za tanesco inawezekana inadaiwa na wanakata kidogo kidogo ununuapo umeme
Hata sisi hii hali imetukuta mkuu!! Mleta mada asome hii comment. Kuna uwezekano kuna deni!
 
Mie nikinunua wa 10,000 napata unit 14.1 na sababu kubwa ni deni so wanakata chao,so ata wewe wamekata chao maana inadaiwa,pengine umehamia hapo umelikuta deni.
...........................
Ref 4GH4QG1UYC
37135517151
Rcpt MAXCO33EMDB58594516
Units 14.1KWH

Token 0434 1055 7740 9641 0651

Cost TZS 4098.37
Serv Charge TZS 0.00
Tax TZS 5901.63
Total TZS 10000
eSign
 
Wemeanza tena kukata
Serves charge

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mie nikinunua wa 10,000 napata unit 14.1 na sababu kubwa ni deni so wanakata chao,so ata wewe wamekata chao maana inadaiwa,pengine umehamia hapo umelikuta deni.
...........................
Ref 4GH4QG1UYC
37135517151
Rcpt MAXCO33EMDB58594516
Units 14.1KWH

Token 0434 1055 7740 9641 0651

Cost TZS 4098.37
Serv Charge TZS 0.00
Tax TZS 5901.63
Total TZS 10000
eSign
Hali hii imeanza juzi!! na hili deni sijui ni lipi!! duuuh!
 
Back
Top Bottom