The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,085
Habari ya wakati huu wakuu.
Naomba kujua wako wapi madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama na magonjwa ya moyo, sukari, uzazi, kifua kikuu, presha, kuondoa mafuta na sumu mwilini ambao walitamba sana miaka michache iliyopita.
Dr. Isaac Ndodi na sanitarium clinic yake, yuko wapi huyu jamaa, alikua anadai anasaidia kuondoa kitambi na umeme ghafla yeye ndio akanenepa na kitambi kikubwa kuliko captain mmoja ambae kabla ya uchaguzi wa mwaka juzi alikimbilia msituni bado hajarudi.
Dr. Mwaka, huyu alikua akijinadi kua ni daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi na magonjwa ya kina mama Afriaka mashariki na kati huku hata darasa la saba hakumaliza.
Wako wapi hao jamaa na madaktari wengine ambao ilikua kila uchao wanaibuka na sanitarium clinics zao wakijidai kutibu magonjwa sugu na yaliyoshindikana hospitalini. Siwasikii kabisa awamu hii ya tano, au na wao wanaisoma namba wagonjwa wamekosa?