Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utakapokufa Yatasemwa Maneno Gani? [emoji117] “Na kama vile watu wanavyo wekewa kufa mara moja, na baada ya kufa ni hukumu” Waebrania9:27[emoji117]Utakapokufa waumini wenzio watasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za usiku huu wana JF na poleni kwa uchovu wa mihangaiko ya maisha. Nina Mzee wangu ambaye anategemea kustaafu utumishi wa umma mwanzoni mwa mwaka ujao. Kama zilivyo taratibu, mtumishi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
nipo dar wakuu naulizia hizo silaha za maombi nazipataje?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nimeshangazwa na habari nilizozipata za mwanafunzi wa sekondari ya Ihanamilo iliyopo Geita,wilaya ya Geita mjini kujifungulia kwenye mabweni ya wasichana. Ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za muda huu wakuu, Inaelezwa kuwa mnyama Tembo ndiye mkubwa zaidi nchi kavu kuliko wote duniani, ambao hupatikana kwa wingi katika mbuga za wanyama za Mikumi, Ngorongoro, Serengeti, Ruaha...
42 Reactions
290 Replies
43K Views
Habari wana jamvi kwa ujumla, Jana mida ya jioni hivi nlisikia hawa jamaa wakirusha habari za huyo mdau aliefungiwa na professional solidarity yao waandishi, hii ya kufungiwa sio kwamba naiunga...
6 Reactions
90 Replies
8K Views
Kama umebahatika kupata ajira yako au mafanikio yoyote ya kibiashara kupitia Uzi wowote kutoka JamiiForums basi ni vyema uje hapa utoe ushuhuda wako na ahsante kwa muhusika aliyokuongoza pamoja na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimesikia na kusoma malalamiko mengi sana, tena kwa muda mrefu sasa, kuhusu mfuko wa pensheni wa LAPF. Kinachoonekana kulalamikiwa na ndiyo ukweli, baada ya kuwa nimethibitisha, ni hatari kwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wanajamvi.... Naandika haya moja kwa moja yaende wizara ya fedha na mipango, wizara ya elimu, wizara ya utumishi wa umma, na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu... Kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sukari sasa bei ni kuanzia 2500 hadi 3500 tegemeana na mahal ulipo. 2015 sukari bei ilikuwa ikizidi sana ni 2000. Mchele bei ni 1800 hadi 2500. Mwaka 2015 mchele ulinunuliwa hadi kwa sh 800. Bei...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Vifaa tiba kwa ajili ya Zahanati, vituo vya afya na hospitali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni mia tatu vimekabidhiwa serikalini ili kusaidia kupunguza changamoto zinazoikabili idara ya...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Tarime-Rorya, linawashikilia watu wawili wakazi wa Mtaa wa Nkende mjini Tarime wakidaiwa kumkata mkono Mkaguzi wa Polisi wa Kituo cha Ngamba Tana-River...
4 Reactions
82 Replies
10K Views
Hata kama yapo maradhi yalitikisa lakini si kama UKIMWI, yalisumbua lakini hatimaye dawa ilipatikana..... Shuguli ipo kwenye UKIMWI, mara utasikia dawa imegunduliwa Hispania, USA n.k kwa sasa...
0 Reactions
65 Replies
13K Views
ROMBO: Waumini wawili wa Kanisa Siloam wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha mapepo na kuwatumbukiza majini. Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani...
2 Reactions
113 Replies
15K Views
Wadau naomba msaada wa ushauri au ufahamu! Kwa kipindi kirefu nimekuwa na matatizo ya ardhi, ofisi inayoshughulikia tatizo yangu ni Land saveyor ya manispaa. Kuna kipindi nilikata tamaa nikaachana...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yusufali Manji (41) bado anaumwa na amepelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yameelezwa leo na Wakili wa Serikali...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Hivi hizi ajira 10 na eshee ndo unanaaply vipi..au wanapangiwa mojamoja Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Wasalamu Kwanza napenda kukupa hongera kwa kutanua wigo wa ajira Tanzania kupitia uwekezajj wako. Ila, kuna hili swala la Azam Pay Tv, Namna ya kununua au kulipia kifurushi Mara baada ya kuisha...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Back
Top Bottom