PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,663
Kama kuna ukurasa mpya katika vita ya kuziba mianya ya rushwa basi iko Pspf.

Shirika hili linasumbua wanaodai mafao kiasi kwamba linahitaji uongozi wa shirika uamke kabla Takukuru haijaanza kuwadaka vijana wanaofanya kazi hapo kama kuku

Utoaji Huduma wa hili shirika ni wazi wanataka rushwa ili kuharakisha malipo,Mara kadhaa nimezhuhudia wazee wakilia mbele yana vijana hao au kufokeana kwa sauti kubwa kisa hawaa vijana wanakwamisha malipo

Japo nawapongeza watu wanaoandaa matangazo,lakini nashauri Takukuru wapige kambi hapo na washirikiane vizuri na wadai mafao

Haitapita mwezi watakamata aliyenona

Wakurugenzi na Bodi amkeni kabla hamjaamshwa na mwenye nyumba mkaondoka kwa aibu
 
Idara ya utafiti Takukuru,hii iwe wakeup call kwa ofisi zote za Takukuru nchi nzima ili mtupie jicho ofisi za PSPF nchi nzima,walau kujua na kupata taarifa za mafao yaliyodaiwa na muda uliotumika kulipa na sababu za kuchelewa

Wakiwa vichwa ngumu,ule mchezo wenu wa kuwadaka uanze Mara moja
 
Kama wakibisha namwanga mboga hapa kw ofisi kadhaa nilizopita na wazee waliokumbana na kadhia wapo tayari kuweka kila kitu hadharani

Na nyie mnasubiri mpaka ziara za rais ndipo akili zirudi?
 
Ina maana gani kumlipa mrisho mpoto wakati ndani mmevunda?
 
Kama kuna ukurasa mpya katika vita ya kuziba mianya ya rushwa basi iko Pspf.

Shirika hili linasumbua wanaodai mafao kiasi kwamba linahitaji uongozi wa shirika uamke kabla Takukuru haijaanza kuwadaka vijana wanaofanya kazi hapo kama kuku

Utoaji Huduma wa hili shirika ni wazi wanataka rushwa ili kuharakisha malipo,Mara kadhaa nimezhuhudia wazee wakilia mbele yana vijana hao au kufokeana kwa sauti kubwa kisa hawaa vijana wanakwamisha malipo

Japo nawapongeza watu wanaoandaa matangazo,lakini nashauri Takukuru wapige kambi hapo na washirikiane vizuri na wadai mafao

Haitapita mwezi watakamata aliyenona

Wakurugenzi na Bodi amkeni kabla hamjaamshwa na mwenye nyumba mkaondoka kwa aibu
Ni kweli wazee wanasumbuliwa sana na haswa waliofanya kazi TARO na TALIRO wamezungushwa mpaka wengine wameshakufa kabla ya kulipwa miaka saba ambayo wamekatwa na PSPF. Kutokana na miongozo ya SSRA wao ndio waliotakiwa wawalipe wazee hawa lkn wamekataa pamoja na maelekezo kutoka SSRA wanayapuuza. Hata ukiandika barua hawajibu. Hili shirika basi tu. Ukiongea na wafanya kazi pale wanatafuta sababu ili usilipwe.
 
Hata hayo matangazo tunayo yaona kwenye lininga sio kweli hayaendani na haki zinazikiukwa na hili shirika. Sasa hivi wanapelekwa mahakamani shauri ya kukiuka haki za wazee wa TARO na TALIRO ni aibu.
 
Mimi nimeshuhudia kwa macho yangu hawa matapeli wanawafokea wazee watu wazima,mmoja analalamika kwamba mwenzie alitoa pesa ndipo akashughulikiwa haraka,wenyewe wanaita hela ya kukimbiza faili,huyu mwingine hana,kastaafu na bado anasomesha,hana hela za kuwahonga hawa nduli wa PSPF na wanamfokea kama mtoto wakati ana miaka 60,hii inatokea karibu ofisi zao zote na wana mitandao wa kugawana hela inayotolewa kuanzia mikoani mpaka huko wanakojua
 
Hata hayo matangazo tunayo yaona kwenye lininga sio kweli hayaendani na haki zinazikiukwa na hili shirika. Sasa hivi wanapelekwa mahakamani shauri ya kukiuka haki za wazee wa TARO na TALIRO ni aibu.
Inawezekana hata anayetangaza naye wanamkata pasenti japo wanaohusika kutangaza kwa kweli nawapongeza kwa kumpamba marehemu ndani ya jeneza la dhahabu huku humo ndani akioza na kutoka funza
 
Naona watu wako kibiashara humu, sidhani kama kuna mfuko unaweza ukawasogelea PSPF kiutendaji na kutoa huduma bora.....wazee wengi wanaishi vzr kupitia mfuko huu mama wa serikali, tuache unafiki kwenye ukweli tupongeze....pspf huwezi kuwalinganisha na mifuko mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mfuko unaotoa huduma bora na mafao makubwa km pspf. Mzaz wangu amelipwa mafao karibia 200mil na pensheni ya kila mwez zaidi ya millioni moja. Huwez kuniambia chochote kuhusu PSPF ni bonge la mfuko. Kwa taarifa yenu mifuko ya hifadhi ya jamii soon inaunganishwa na hvyo vifuko vingine vyote vitakuwa chini ya pspf kwasababu ni mfuko unaosimamia vizur shughuli zake. Mkurugenz mkuu wa pspf ni mkurugenz pekee kat ya wakurugenz wa mifuko anaongea na wateja wa mfuko moja kwa moja. Ukimpigia simu ni hapo hapo anamaliza shida yako. Mi ni shuhuda wa haya. Acheni kuskiliza propaganda za kitoto
 
Back
Top Bottom