Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

As Tanzania celebrates receiving $300m donation from Bill & Melinda Gates Foundation, we shoulad not forget our former presidents Jakaya Mrisho kikwete who strangled to establish a good...
3 Reactions
6 Replies
839 Views
1. Wazazi Wao nao Ni Rastafarian hiyo Ni sababu mojawapo inayowafanya watu kuwa rasta, aidha wazazi wake au mmoja WA wazazi wake alishakuwa rasta, Na hivo mtoto kuvutiwa nae katika asili hiyo Na...
4 Reactions
39 Replies
13K Views
FEDHA ZA USHAHIDI ZAIBIWA MAHAKAMANI WAKATI KESI IKIENDELEA. Fedha taslimu kiasi cha shilingi laki mbili zilizokua kielelezo katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili afisa wa polisi...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwenye mtaa wangu ninaoishi hatuma umeme toka kuumbwa Kwa Dunia . tumejaribu kufuatilia toka mwaka Jana mpaka Leo hakuna hata dalili Ila kuna mdau ametudokezea ili tuletewe umeme sharti...
1 Reactions
52 Replies
12K Views
Habari wakuu wote, Naomba kufahamu ipi ni gharama kubwa kwa ujenzi hapa Dar es Salaam, kufyatua au kununua zilizofyatuliwa tayari.
0 Reactions
60 Replies
17K Views
Habari ndugu zangu, Eti wale watumishi takribani 3000 walioajiriwa mwaka jana april na kurejeshwa nyumbani kupisha uhakiki wa watumishi hewa , wamesharudishwa kazini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa watumishi wa serikali waliowengi hawana morale na tija ya kufanya kazi.Serikali ingekua na uwezo wa kuchunguza mioyo ya watu hao hakika wangestaajabu.Wengi wanahudhuria na kuwepo ila spirit...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Yapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao...
3 Reactions
74 Replies
10K Views
Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6. Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
NIMEKUTA MKAKA KAANDIKA HIVI JAMANI ETI NI KWELI? ・・・ Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! 1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii ni ishara njema sana katika kuondokana na lile bifu.Naamini yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo. Vijana mkishirikiana mnaweza kuleta mabadiliko makubwa sana Dar na kitaifa.
5 Reactions
80 Replies
7K Views
Katika mfumo wetu wa maisha nchini kote popote utakapokuta kundi la watu zaidi ya wawili basi ujue kuna jambo wanajadili . Ikitokea ukawa uko sehemu ya lile kundi LA watu kwa UPANDE WAKO huwa...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Mashidano ya kula pilipili kali katika mkoa wa Hunan nchini China. Mshindi alipewa dhahabu ya karati 25 kwa kumaliza pilipili 15 chini ya dakika moja akiwa ndani ya maji.ambayo pia yamewekwa...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
NOTE... MCT walikuwa wapi siku zote. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hapo jana tumeshuhudia shirikisho la kandanda nchini kwetu likifanya uchaguzi wake huko mjini Dodoma na kupata viongozi wapya wataoliongoza shirikisho hilo la mpira wa miguu kwa kipindi kijacho...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika maeneo ya parking za zamani za billicanas bills mkamua miwa kwa machine special amepatwa na janga kiganja chake cha mkono kuvutwa na kunasa kama pichani hapo inavyoonyesha.. tarehe 12th...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Nilipo kuwa chuoni nikisoma maswala ya motisha, nilielewa kuwa, ili upate Tina kubwa katika mradi wako ni muhimu kutoa motisha chanya. Sielewi vema kama kuwapa madaraja watumishi wako kama ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Picha halisi ya Deogratius Kisandu na Feki Deogratius Kisandu (Benard Mtorela) 1.Picha ya kwanza ni ya kidato cha pili pale Magu Sekondari januari 1998 yenye Uniform, wa kwanza kushoto ni...
4 Reactions
39 Replies
8K Views
Waliofanya huu mchezo wa kubumba na kutengeneza mtoto wa kufoji anayesoma St. marcus nasema huyo sio mtoto wangu, watoto wangu wote bado wadogo sana na wengine wako bado shule za msingi...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Nimejarbu kupita karibu shule zaidi ya 300, nikitembeza vi-handouts kwa masomo mbalimbali. Awamu ya kwanza nilitembeza mkoa wa Dar es salaam, kisha Iringa, Moro, dom, singinda na Tabora...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom