Wale Watumishi 3000 wamesharejeshwa kazini?

Wale Watumishi 3000 wamesharejeshwa kazini?

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
496
Habari ndugu zangu,
Eti wale watumishi takribani 3000 walioajiriwa mwaka jana april na kurejeshwa nyumbani kupisha uhakiki wa watumishi hewa , wamesharudishwa kazini?
 
kuna mdada namfahamu alirudishwa....sijui kama walirudishwa wote
 
Back
Top Bottom