Mashindano ya kula Pilipili, mshindi apewa dhahabu karati 25

Mashindano ya kula Pilipili, mshindi apewa dhahabu karati 25

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,202
Reaction score
64,681
Mashidano ya kula pilipili kali katika mkoa wa Hunan nchini China.

Mshindi alipewa dhahabu ya karati 25 kwa kumaliza pilipili 15 chini ya dakika moja akiwa ndani ya maji.ambayo pia yamewekwa pilipili.
4ef7edfc2560b145425825aea1f94f34.jpg
ba307dcaba366a6d3e02d4adc1f32f3d.jpg
7f83d226d75aabb87589f405a605254b.jpg
25c5f1a56750d65928d4069662822c44.jpg
1822d12c72662bf2ed427f037180bf3b.jpg
 
Duh- Ila wahindi wangekuwa kwenye shindano wangepata ushindi
 
Hiyo ipo common sana US napenda kuwaangalia facial expressions sababu huwa wananichekesha sana, kuna challenges kama kula hotdogs, mayai chicken wings, burgers atal
 
Hao wakienda chooni wachambie maziwa labda kama wana sugu za m...du
 
Walet hilo shndano bongo nna ham nalo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom