Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serious ndugu zanguni. Nimefanya kazi Lakini nimefika mahali siwezi kuendelea na hii kazi Sent using Jamii Forums mobile app
13 Reactions
191 Replies
28K Views
Sisi binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu lakini kuna watu ukiwaangalia unamuona shetani kabisa... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Ndugu wana jf. sasa hivi barabara ya mandela kipande cha tazara kuelekea buguruni mpaka ubungo magari hayatembei nimasaa mawili sasa,inasemekana kuna kiongozi anataraiwa kupita nyerere road...
16 Reactions
64 Replies
7K Views
Dunia ina mambo! Ukishangaa ya popobawa na haya utasemaje? Watu huko wanatumia uchawi kuiba nyeti za wenzao. Dah! 'Penis-snatching' city crime wave spreads to remote village in Central Africa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari za jioni jf Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya misaada tunayopokea kila kukicha hatima yake ni nini kwa taifa hili na kwa kiasi tulichofikia tutalejesha vipi hisani hizo.kisha ni lini sisi...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Wengi wetu bila shaka umeshawahi kumuona au kumsikia mcheza sinema maarufu duniani kwa kipindi hicho ambaye kwa sasa ni Gavana wa jimbo la calfornia, Anord Shwarzenegger. Enzi zake alicheza sinema...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Kipi bora kati ya hivi vingamuzi? ?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Katika zile dalili kubwa kumi za mwisho za kuashiria ukaribu wa siku ya mwisho/Judgment Day/Qiyamah (Rejea part 1 ikiwa haukupitia), kuna dalili kubwa kadhaa ambazo zimesha jitokeza kulingana na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa Salaam, Muda si mrefu nimepokea simu toka kwa mtu nisiyemfahamu, namba yake ni 0692 242 138 baada ya salam, akajitambulisha kwamba yeye anaongea toka Airtel huduma kwa wateja. Swali...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kijana aliyetambulika kwa jina la baraka Juma mkazi wa Majengo mjini Shinyanga amenusurika kifo baada ya kushushiwa kipigo kikali kutoka kwa wananchi kwa tuhuma za kutapeli kuwa anauza dhahabu na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nawaza tu kwa sauti!!!!!!!!!!!! Tunasubiri Report ya Upelelezi juu ya waliohusika kumteka Roma...........mpaaka sasa iyo report ni hewa. Kama aliyemteka Roma tiyari ameshateka na Report ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa...
1 Reactions
3 Replies
735 Views
Wakuu, Hizi pesa huwa katika fungu lipi la Bajeti ya Halmashauri na vigezo vipi hutumika kuzitoa kwa,wananchi? Na fungu lake huwa ni shillingi ngapi? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
4 Replies
926 Views
Nimekuwa nikifuatilia mno mienendo ya Walinzi ( Bodyguards ) wa Viongozi Wakuu ( Marais ) wa nchi mbalimbali duniani ( ila kwa wa Tanzania sijawahi ) na kugundua kuwa wengi wao hupenda sana...
11 Reactions
118 Replies
57K Views
Habari waungwana, Kutokana na maisha kuwa magumu, nimeamua kwenda Dubai kutafuta maisha kivingine. Kwa anaepajua au ataekuwa tayari kuongozana na mimi anakaribishwa kusema lolote la kunijenga sio...
1 Reactions
60 Replies
14K Views
Habari wakuu, Nahitaji msaada wenu wadau wangu, nahitaji kuwa na acc kwaajili ya malipo mtandaoni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania (GBT) kwa ushirikiano na Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro imekamata mashine 23 zisizo na viwango vya michezo hiyo ambazo hazijasajiliwa,kuziharibu na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wilaya ya Rorya ni moja ya wilaya za mkoa Mara iliyo mpakani kabisa na nchi jirani ya kenya. Wilaya hii ina makabila mengi lakini kabila kubwa ni wajaluo ambao pia hupatikana katika mkoa wa Nyanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tasniaa ya anga imepata pigo kubwa kuondokewa na dada mpiganaji mpambanaji aliekua mfanyakazi wa ndege wa ATCL na baadae fastjet sn cc Huba Diwani Mwenyezi mungu akuondolee adhabu ya kaburi akupe...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Uchunguzi uliofanyika hivi karibuni nchini Marekani unasema kuwa sasa ni wakati wa kuacha kutupa maganda ya mayai kwakuwa yana madini ambayo yana faida kwa binadamu. Badala ya kuyatupa maganda...
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Back
Top Bottom