Sababu 5 kwanini watu huwa Rastafarian

bushland

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
7,015
4,982
1. Wazazi Wao nao Ni Rastafarian
hiyo Ni sababu mojawapo inayowafanya watu kuwa rasta, aidha wazazi wake au mmoja WA wazazi wake alishakuwa rasta, Na hivo mtoto kuvutiwa nae katika asili hiyo Na yeye kufuga rasta.

2. Bob Marley
Nae amaekuwa Ni chachu mojawapo ya vijana Na watu wazima ulimwenguni kufuga Na kuishi katika imani ya kirastafariani, kutokana Na hamasa aliyokuwa nayo katika kuhamasisha Amani, upendo.

3. Wamezaliwa kuwa hivo
Rastafarian wengi wamezaliwa katika asili hiyo tangu tumboni mwa mama zao, Na hiyo inakuwa asili Yao hadi watakaporudi udongoni

4.
Jah kawachagua kuwa hivyo
Kama kawaida Mungu wetu ndo kampangia hivo tangu kuzaliwa kwake.

5.
Anamaamisha kuwa hivyo.
Rastafarian wanaamini katika ubinadamu,Amani Na mshikamano, pia kukemea vita,
-kuishi Na kuheshimu asili
 

Attachments

  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_black-jesus21-240x300.jpg
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_black-jesus21-240x300.jpg
    11.9 KB · Views: 72
  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_Rasta-Couple-225x300.jpg
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_Rasta-Couple-225x300.jpg
    11.9 KB · Views: 107
  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_untitled.png
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_untitled.png
    33.1 KB · Views: 68
Rasta is future.

Sababu kuu mtu kuamua kufuata misingi ya rastafari ni socialization.

Unajua mwanadamu ni social animal. Tunakuwa vile tulivyo kwasababu ya mambo tunayosikiliza, watu tunaokaa nao, muziki tunaosikiliza, pia vitu tunavyosoma.

Bob Marley "Tuff Gong" aliulizwa how long have you been a rasta. Yeye alijibu I have been a rasta from ever since.

Pia Bob alisema wazi, alipofika mjini KingStone watu aliokaanao walikuwa rasta. Aliwaona wanawaza kama yeye na wana upendo kama yeye. Hakukuwa na lolote kumzuia kuwa rasta.

Juu ya hapo nimeona watu wengi ambao ni nature lover ni rahisi wao kupendezwa na misingi ya rastafari.

One love Idren.....higher meditation continually.
 
Kuanzia viunga vya Trench Town hadi kwa washua Monte Carlo, Argentina, Ethiopia hadi Endulen Umasaini........jina la Bob Nesta Marley ni maarufu zaidi ya CocaCola.

dba8601450f4e54ca98669221f80510f.jpg
 
Nin
Nina mengi ya kuelezea kuhusu Rastafarian, kila nikipata time ntakuwa Natupia Tu huku., ok.nakutumia picha
Halafu yaonekana hata wewe bibie ni rastafarian...halafu naskia et mnakuwaga watam sana
 
Ni bange tu, hakuna lingine. No offense
No offense. Understanding is damn low....better inform yourself from unbiased sources about rasta and herbs. Unadhani ukiwa rasta lazima u-spiff herbs?

Unafahamu lolote kuhusu Buddhism au Hinduism na matumizi ya herbs?

Unafahamu lolote kuhusu mimea mitano mitakatifu katika jamii ya Hebrew? (5 sacred plants)

Je unaelewa lolote kuhusu medical marijuana?
 
No offense. Understanding is damn low....better inform yourself from unbiased sources about rasta and herbs. Unadhani ukiwa rasta lazima u-spiff herbs?

Unafahamu lolote kuhusu Buddhism au Hinduism na matumizi ya herbs?

Unafahamu lolote kuhusu mimea mitano mitakatifu katika jamii ya Hebrew? (5 sacred plants)

Je unaelewa lolote kuhusu medical marijuana?
Endelea kufafanua mkuu, nawaelewa na nawapenda saana marasta wale wenye imani ya kirasta kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom