Prophet Bushiri kanunua Jumba la US$ 12million.

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6.
a8b41e5527104c6caa6f91286c97d554.jpg

Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New $12million Mansion(PHOTOS) ~ Welcome To Trezzy Helm
d97ab5717ab8941e6bf967514319b2b5.jpg
03c43d61367f4a36e3562593b7c5f24d.jpg
f11ef4d16639dc17785df9e45a87a2f7.jpg
77fa1471887d35829371f456e3070f17.jpg

Kwanini watu wanalalamika sana.
Je, Ni dhambi kwa Watumishi wa Mungu kumiliki Mali? Na Je, Utajiri ni kwa Waumini tu na Wapagani?

Muwe na Jumapili njema.

sent by Samson Cyper
 
Yule mwingine wa Zimbabwe Anaitwa nani? Model model hivi naye ana pesa za kumtosha Lamborghini, Ferrari, Bugati i
 
Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6.
a8b41e5527104c6caa6f91286c97d554.jpg

Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New $12million Mansion(PHOTOS) ~ Welcome To Trezzy Helm
d97ab5717ab8941e6bf967514319b2b5.jpg
03c43d61367f4a36e3562593b7c5f24d.jpg
f11ef4d16639dc17785df9e45a87a2f7.jpg
77fa1471887d35829371f456e3070f17.jpg

Kwanini watu wanalalamika sana.
Je, Ni dhambi kwa Watumishi wa Mungu kumiliki Mali? Na Je, Utajiri ni kwa Waumini tu na Wapagani?

Muwe na Jumapili njema.

sent by Samson Cyper
Watu wanaliwa sana na hizi dini za siku hizi
 
Duh sasa kuonana nae ili iweje, yaani kuweka booking ili kumuona wa nini?
Ili akuombee.
Mimi huyu Bushiri ninamkubali sana ,hasa baba yake wa kiroho Uebert Angel ambaye kwasasa anaishi UK.
Ila ndugu zangu napenda kuwaasa kwamba tuwe makini na watumushi.
Wapo wanaosimama kumwakilisha Mungu, wengine wanamwakilisha shetani na wengine wanawakilisha matumbo yao.
Ni vyema kama mkristo ujawe na Roho mtakatifu ambaye ni general fullfilment. Hii itasaidia uweze kuingia uani mwa MUNGU muda wowote na mahali popote free incharge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom