Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu watatu wamekufa katika ajili mbili tofauti wilayani Manyoni ,ikiwemo ya mbunge wa Manyoni mashariki kumgonga mwanafunzi wa darasa la kwanza na kufariki papo hapo ,na ajali nyingine gari aina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wananchi zaidi ya 170 wakiwemo wafanyabiashara waliokamatwa na mamlaka ya mapato nchini TRA mkoani Arusha kwa kosa la kuuza na kununua bidhaa bila kutoa risiti wametozwa faini ya zaidi ya milioni...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Imenibidi niulize hili ili mnisaidie , huku kwetu Tandika Mwembeyanga vijana wananyoa mitindo mingine ambayo hata majina yake siyajui , ni unyoaji ambao ni kama wazazi wao wamekubali yaishe tu ...
3 Reactions
59 Replies
16K Views
Hivi ndivyo mmiliki wa Slipway Hotel na kampuni zake nyingine ikiwemo kampuni ya ndege ya Coastal Aviation ndugu Nicola Colangelo alivyoagwa na wafanyakazi wake. Toka Hotel ya Slipway mpaka...
23 Reactions
251 Replies
38K Views
  • Closed
Katika kile kinachoonekana mwendelezo wa wiki ya vituko, kiki na ukiukwaji wa misingi ya utawala wa sheria, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi bw. Said Mtanda jana 12.08.2017 aliamuru wanajeshi wa JKT kikosi...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Salaam Niende moja kwa moja kwenye mada Wakuu naomba kujuzwa Iv ni mambo gani au vitu gani unashauriwa kumfanyia au kumpa demu ambaye unaenda kukutana naye kwa mra ya kwanza kwa muda ambao...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Tanzania yazidi kujitangaza kimataifa : Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF! Kama mnavyofahamu awamu hii ya TANO, Vijana WAMETELEKEZWA. Ajira hakuna, zikiwepo masharti lukuki kama vile wanakataliwa kistaarabu. Hivi karibuni baada ya wizara ya AFYA...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau yupo anayeweza nisaidia japo kwa ufupi tafsiri ya kitabu hicho? Kimeandikwa na James Hadley Chase .Karibuni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello Ladies and Gentlemen, naombeni mzingatieni mnapokuwa mnaendesha gari kuanzia Sehemu inayoitwa Arusha Meat mpaka Tengeru ,Ndugu zanguni hakikisheni mnakuwa na speed limit 40 km / per hour...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KANUNI UNAZOTAKIWA KUZINGATIA KUHUSU FEDHA. - MWALIMU WA KISWAHILI Usione Nipo Kimya Nakusubiri Uropoke
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Wakuu,kwa wale wenye interest ya mambo ya madini njooni kalenge,sio mbali sana ni njia ya kwanda Kibondo KM kama 25 toka njia panda ya Nyakanazi,mimi nipo hapo tangu juzi,zimefumuka dhahabu...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
DARASA HURU. KUMJALI MTU NA KUMTHAMINI NI MUHIMU KULIKO HATA KUMPA PESA “Mkeo amefariki Msiba uko hapa nyumbani?” Denis alipokea ujumbe mfupi kwenye simu yake, kuangalia ulitoka kwa Mama yake...
1 Reactions
4 Replies
815 Views
Kuna ndugu yangu ni mfanyakazi wa Serikali kwenye Halmashauri moja hapa Mwanza. Amedumu kazini kwa miaka 10 na sasa anataka aache kazi,na hata mafao yake hataki tena. Miaka 3 iliyopita...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Nimelinganisha watangazaji wetu na wa Kenya jana wakati wa kusubiri kutangaza matokeo ya Urais Kenya, nimeona tuko nyuma sana, in all aspects za utangazaji. Watangazaji wetu mjiongeze sana tena...
11 Reactions
107 Replies
10K Views
Msaga sumu hakumaanisha hata wale wenye magovi.jitahidini mkakatwe Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Siasa za Yanga na Simba zimeendelea kutawala kila kukicha awamu hii ktk uchaguzi Mkuu wa TFF ambapo siku ya jana klabu ya Simba imeweka historia baada ya wanachama wake wengi kupata kura ktk...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ivi IQ ya mwanadamu inapimwa na nini au kifaa gani?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kufuatia adha, kero na usumbufu mkubwa uliopo ktk kituo cha sasa ktk stendi ya mabasi ubungo. Wiki mmoja iliyopita nilimsikia mhandisi wa Jiji la Dsm akizungumzia juu ya ujenzi wa kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Jamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk. Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom