Wangwana wa JamiiForums, mara nyingi tumekuwa tukishuhudia Asasi za Haki za Binadamu zikikosoa serikali kwa masuala yasiyokuwa na tija kwa mustakabali wetu! Kuna suala la msingi sana la watoto wa...
Ule msako uliotangazwa na polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuwakamata wapigadebe kwenye vituo vya daladala jijini hapa unaanza leo.
Kaimu Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Lucas Mkondya...
Ndugu zetu mlio ughaibuni, tusemee maana huku mambo yameharibika. Kila mmoja amefungwa. Hatuwezi kufungua midomo tena. TUMEFUNGWA. MTUSEMEE TO WAKE UP THE WORLD AND INTERNATIONAL DEMOCRATIC...
The volume of monthly transfers through M-Pesa is $2.5 million.
Photo/ANTHONY KAMAU
By MICHAEL OUMA
THE EAST AFRICAN
Posted Monday, October 19 2009
With the recent expansion of...
Institution for Tanzanians in the Diaspora in pipeline
By Joyce Kisaka
20th July 2009
The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Bernard MembeThe government is expecting...
Kumekuwa na machukizo makubwa sana kwa sasa katika mahusiano kwa miaka hii kwa pande zote. akina baba na akina mama... na siku zote najiuliza nini imekuwa changamoto kubwa ya kuchangia kukua kwa...
By DAILY NEWS Reporter, 11th June 2010 @ 12:00,
THE Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation and the International Organization for Migration (IOM) are jointly organizing the...
Katika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:
Kati kati ya mji huu kuna mataa ya...
Habari waungwana! Ninae rafiki yangu ambae mama yake ana hali mbaya na mwanae yupo Goa,India kutafuta maisha.
Naomba kujulishwa kuhusu ni JINSI GANI MTANZANIA ALIYEPO INDIA AMBAE AMEOVERSTAY...
Hapa ndo home sweet moshi wazee nlipozaliwaga na kutokea hapo npo mbali nako nw ila kama wengne home twn s always n ma heart..tupia ulipotoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za usiku.Kila member ana jukwaa ambalo akishika simu au kompyuta tu kuperuzi jf lazima kuna jukwaa atalianza kuingia.Je jukwaa ni lipi na kwanini liwe jukwaa hilo?
Karibuni
great thinker
Kumbe hata wao wanazamia Duuh!!!
RAIA wa AfriKa Kusini, Menolaos Tsampos, (61), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kujibu mashtaka ya kutishia kwa mtandao, kuishi nchini kwa...
Women flake at very high rates
Most guys understand this. Have you ever started talking to a girl for a week or two and she totally seems to like you? Then out of nowhere she becomes cold or just...
Kuna utaratibu ndani ya benki ya NBC kwamba Mteja anapokwenda kufungua akaunti kwa Mara ya kwanza anaambiwa ni lazima aache pesa kwaajili ya kugungulia akaunti, fedha hiyo unaambiwa uache kuanzia...
Nimepata bahati kuwa miongoni mwa vijana wachache kuonana na mtu huyu nami ckusita kumuuliza swali kuu ambalo kila mmoja angemuuliza "Nini nifanye nifanikiwe"
Majibu yake ni haya
1.Have a long...
Binafsi sio mpenzi wa maigizo wala movie za bongo.
Lakini ukiwa na TV ukafungulia kwa bahati mbaya Chanel za kiswahili kwasababu mbalimbali...
utakuta movie nyingi wana act katika namna inayo...
wale ma-handsome na ma-beauty wanachukiwa sana kulinganisha na wale wabaya. Chuki hii imeegemea kwenye wivu hasa.
Na ukiwa mzuri ukifanya kosa , mwangi wake unasikika sana kuliko ukiwa mbaya...
Wanasaikolojia Wanasema mtu pekee atakaeweza kufurahia na Kumudu maisha ya dunia hii karne ya ishirini na moja na kuendelea ni kuwa na akili badilishiki, inayokumbatia mabadiliko haraka (agility)...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,tupia hapo kiwanja unachokimiss miaka ile maalum kwa kujirusha. Mie naanza na DDC Kariakoo nilikuwa napakubali sana.
Karibuni,maana aah ya kale dhahabu.
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.