Sina mtoto anayeitwa Richard Deogratius Kisandu,na wala sina mtoto anayesoma Sekondari.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,380
Waliofanya huu mchezo wa kubumba na kutengeneza mtoto wa kufoji anayesoma St. marcus nasema huyo sio mtoto wangu, watoto wangu wote bado wadogo sana na wengine wako bado shule za msingi.

Deogratius Nalimi Kisandu
 
Dear Aunt,
Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie. Nilipofika nyumbani sikuamini macho yangu baada kumkuta mume wangu na binti wa jirani yetu. Nilimkabiri mume wangu na kwa bahati nzuri kakubali makosa kuwa uhusiano wao una mwaka sasa, lakini cha ajabu amesema atalazimika kumuacha huyo binti pole pole ili asimchanganye kisaikolojia kwa kuwa bado mdogo. Je hii ni sawa? Nifanye nini? Naomba ushauri Mzee wangu
Fransiska wa Mwenge

JIBU
Binti yangu Fransiska,
Nimesoma kwa makini ujumbe wako, kitu ambacho nimekiona mara moja ni hili tatizo la gari kuzimika ghafla. Kwanini uendeshe gari na baada ya muda mfupi lizime? Hapa kuna matatizo kadha wa kadha ambayo yanaweza kuwa chanzo. Inawezekana plag mbovu au uchafu umeingia kwenye mrija unaopeleka mafuta kwenye injin. Au pengine ni tatizo la umeme, au fuel pump, ulicheki kama petroli ipo? Ikiwezekana waone mafundi warekebishe hivyo nilivyovitaja.
Nategemea ushauri huo utakusaidia mwanangu.
 
Waliofanya huu mchezo wa kubumba na kutengeneza mtoto wa kufoji anayesoma St. marcus nasema huyo sio mtoto wangu, watoto wangu wote bado wadogo sana na wengine wako bado shule za msingi.

Deogratius Nalimi Kisandu
Labda majina yanafanana. Ili kuwashushua, kapimeni dna halafu mlete vyeti vya mkemia mkuu. [HASHTAG]#hunavyetihunahakiyakujitetea[/HASHTAG]
 
Wejamaa bilashaka unakaribia kuanza kuokota makopo aiseeeee.....
Kwani hapo ulikua unaongea na simu huku unaandika, ama...
 
Kuna baadhi ya member humu jf, itawalazimu moderators waanze kukaa na kamba 24/7. Hii itarahisisha kuwafikisha wateja wa milembe bila matatizo
 
Back
Top Bottom