mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 99
Kwenye mtaa wangu ninaoishi hatuma umeme toka kuumbwa Kwa Dunia . tumejaribu kufuatilia toka mwaka Jana mpaka Leo hakuna hata dalili
Ila kuna mdau ametudokezea ili tuletewe umeme sharti tujikusanye wakazi wote wa huu mtaa tuchange kila mtu sh 200000 Kwa ajili ya nguzo
Bado kuvutiwa umeme kuingia ndani
Swali
Langu je ni halali kuuziwa nguzo sh 200000?
Au Mimi niendelee kutumia soral
Au tanesco wanatuibia ?
Naomba kuwakilisha kwenu mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app