Wakuu,
Tulipomaliza chuo 2015, wengine tulipata bahati kupata ajira but kuna wenzetu hawakupata.
Jana (09/08/2017) katika shughuli zangu za kufuatilia mikopo kwa clients, nikakutana na...
#Biharamulo
Ziara ya Raisi Magufuri na maelekezo aliyotoa kutatua tatizo la maji, alijapatiwa ufumbuzi! Ushauri kuondoa tatizo la maji in bora wavute maji kutoka ziwa Victoria au ziwa Burigi...
hapa Mungu alimaanisha nini...
Ni harakati za dunia nzi,a watu wasizae sana kwa hofu...
Wahenga wetu walizaa sana japo hawakumjua Mungu kitu kinachoonyesha walirithi kutoka kwa Adam.
Nini...
Habari Ndugu zangu,
Nina Ndugu yangu ambaye amemaliza hatua ya awali jeshini sasa hivi Yuko on Service Mbweni,ameniadithia mambo Mengi Sanaa,lakini lililonishangaza zaidi ni kuna idadi kubwa...
Last 3 months he was the president of france ie hollande.
Viongozi wa Africa kazi ni wizi na kung'ang'ania madaraka !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamiliki wote wa vituo vya mafuta ambao wameomba kupatiwa mashine za kielektroniki(EFD) wamepewa siku 20 wawe wamefunga mashine hizo.
- Agizo hilo limetolewa Serikali kupitia Waziri wa Fedha na...
Hilo nalo linaniacha hoi hasa nikisafiri na mabasi yetu yaendayo Mikoani!!Kwamba , imezoeleka kuwa basi lisimame porini abiria washuke kwenda kuchuma dawa.
Kwa wale ambao...
Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Hanang mkoani Manyara kwa kauli moja limepitisha kufukuzwa kazi wafanyakazi watano kwa utoro kazi na kuwapa onyo watumishi sita wa idara...
Hawa wanyama wanateseka sana, wanachapwa fimbo migongoni mwao zisizo vumilika, mbaya zaidi wakiwa wawili wanavuta tela la mizigo mmoja kati yao anaweza kua anaumwa sana, kwaio akitegea basi wote...
Pesa haionekani..pesa haikamatiki, na ukiikamata ni kiduchu ,ni ya kuishikilia kweli kweli. Ikikuponyoka tu,kurudi kwake ni mbinde. Hi ni kwa watu wa kada zote, kuanzia watumishi wa umma...
Ndugu zangu rushwa imepamba moto kuhusu rist kwa wateja ambao wananunua mizigo bila kupewa rist ya efd naomba vyombo husika viingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa leo tarehe 13/08/2017 ni siku ya watumia mkono wa kushoto duniani, hebu wana JF tunaotumia mashoto tujitambulishe hapa na tuwalete watu mashuhuri ambaye nao ni mashoto.
kwa upande wangu ni...
Mbunge wa Viti Maalumu wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Anatropia Theonest(Chadema) amesema watoto 244 wamefanyiwa vitendo vya unyanyasaji katika halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo tatu ya...
Sheria ya kurudia kidato cha nne iko vipi kwa sasa .. ni kuanzia masomo mangapi mtu anaweza rudia tena paper ya kidato cha nne?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco imetoa taarifa ya katizo la umeme katika mkoa wa Kinondoni Jumapili ya leo ambapo maeneo zaidi ya 50 huenda yakakosa umeme kwa muda wa takribani masaa 7.
Aidha, Tanesco imewajulisha pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.