Mkamua juice ya miwa anaswa na Machine yake

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Katika maeneo ya parking za zamani za billicanas bills mkamua miwa kwa machine special amepatwa na janga kiganja chake cha mkono kuvutwa na kunasa kama pichani hapo inavyoonyesha.. tarehe 12th August 2017..
Tuwe makini na vijana tunaowaajiri sio kuwatoa shamba na kuwaleta town tu na kuwapa kazi wasizozielewa... pole sana kijana hadi naondoka eneo la Tukio wadau walikuwa wanasaidia kuikata machine kwa msumeno...
20170812_155449.jpg
 
hiyo ni ajali kazin Inaweza. mtokea yoyote, cha muhimu ni kuongeza umakin sehemu za Kazi
 
Hiyo mashine lazima iongezewe case ambayo itaruhusu muwa tu kupita na si vinginevyo. Nitashangaa sana aliyeibuni au kutengeneza kama hatafanya hivyo.
 
ni ajali tu ya kawaida..shukran mkono wake upo salama japo anaweza kuwa na maumivu ya kubanwa..

mi bwana nahofia zile mashine za mabucha ya samaki..dooh!
akiiwasha hivi ni kama msumeno fulan unazunguka kwa kasi hivi..anapitisha samaki pale kati
 
Pole kwanza hiyo ikishawai kumtokea dogo alikuwa anashangaa zigo maana hapo kuna mizigo ya kichokozi nilikaa Masaa mawili nikashindwa hahahahaha
 
Vyombo vyote vya usafiru, vya ardhini, majini na angani vinapata ajali na akuua.
Je Tusivitumiee kwa kuwa vimeua?

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Umejuaje kama huyo kijana ni washamba au mjini?


Cc: mahondaw
Kichwa chake tu kilivyo na muonekano wake utajua tu. Na ujinga wa boss wake ati anamlaumu huyo dogo kwanini kapitilizisha mkono wake hadi ukabanwa... Yaani nikitamani nimrambe kofi nikamuambia polisi wakifika unaweza Pata kesi na kufungwa usalama huna na huyo dogo hata mafunzo ya usalama haujampa. .
 
Katika maeneo ya parking za zamani za billicanas bills mkamua miwa kwa machine special amepatwa na janga kiganja chake cha mkono kuvutwa na kunasa kama pichani hapo inavyoonyesha.. tarehe 12th August 2017..
Tuwe makini na vijana tunaowaajiri sio kuwatoa shamba na kuwaleta town tu na kuwapa kazi wasizozielewa... pole sana kijana hadi naondoka eneo la Tukio wadau walikuwa wanasaidia kuikata machine kwa msumeno... View attachment 564017
Wanakata kwa.msumeno haina rivasi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom