MISAADA NINI HATIMA YAKE

MISAADA NINI HATIMA YAKE

bandamo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,930
Reaction score
1,370
Habari za jioni jf
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya misaada tunayopokea kila kukicha hatima yake ni nini kwa taifa hili na kwa kiasi tulichofikia tutalejesha vipi hisani hizo.kisha ni lini sisi nasi tutaanza kusaidia wengine .kila kukicha tunatafuta wawekezaji lini tutaanza kujiamini kuwa tunaweza bila wawekezaji
Naombeni anayejua anibadilishe mawazo [emoji33] [emoji33] !!!!!?
 
Back
Top Bottom