Msaada: Kufungua account kwa ajili ya malipo mtandaoni

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
271
Habari wakuu,

Nahitaji msaada wenu wadau wangu, nahitaji kuwa na acc kwaajili ya malipo mtandaoni.
 
Nenda pale UBA Bank. Utapata UBA Africard.Hii huhitaji kuwa na account.Ni card tu na inatumika pia katika ATM ,unahifadhi fedha humo. Na unaweza kuwa kila unapotaka nunua kitu online ndo unajaza pesa kwa MPesa. Hiyo itakufaa kwa manunuzi ya online

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana mkuu nitafanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom