RIP Huba Diwani crew wa ATCL na baadae Fastjet

RIP Huba Diwani crew wa ATCL na baadae Fastjet

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,968
Huba.png

Tasniaa ya anga imepata pigo kubwa kuondokewa na dada mpiganaji mpambanaji aliekua mfanyakazi wa ndege wa ATCL na baadae fastjet sn cc Huba Diwani

Mwenyezi mungu akuondolee adhabu ya kaburi akupe rehema zake

Marehemu anazikwa leo Kinondoni

Msiba uko pale Kinondoni kanisani nyumbani kwao..Opp na uwanja wa Biafra. Ukifika Biafra uliza penye msiba....

Michango tunaendelea kupokea nyumbani tu

Raha ya milele akupe ee bwana na mwanga wa milele akuangazuie upumzike kwa amani

Amen
 
Back
Top Bottom