Ambao mmeshawahi kuumwa majipu/jipu sehemu fulani fulani za mwili wako kama makwapani, mapajani, shingoni, maeneo yasiyofikika na mengineo..mtakuwa mnajua maana ya 'utamu' likikupata aisee.
Jipu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Tanzania Women of Achievement (TWA) yazindua jukwaa la mwongozo, ushauri na kujifunza kidijitali kwa ajili ya wasichana na wanawake Agosti 9, 2017 jijini Dar es...
Katika hali ya kushangaza mimi nimejikuta nikifeli kupata police loss report toka mamlaka za kipolisi za dar es salaam nikiwa nimehangaikia hiyi kitu yapata wiki mbili sasa
Nimefika central...
Manispaa ya Temeke, mkoani Dar es Salaam imekamata shehena ya sukari nyeupe (industrial white sugar) mbovu ambayo hutumika kutengeneza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) ambayo...
MWANAMKE anayejulikana kwa jina la Nabii Juliana wa Kanisa la Miracle Assemblies of God, amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuingilia ndoa ya Mchungaji Richard Kiondo...
Baadhi ya vyombo vya habari leo vimeripoti mauaji ya kimya kimya ya walinzi kama 26 kwa siku tofauti tofauti ndani ya Mkoa wa Geita bila kuacha damu maeneo la matukio bila kuwa maelezo ya kutosha...
Tanga. Swabaha Shoshi, anayejulikana kwa jina maarufu kama mjane aliyemlilia Rais John Magufuli, amefikishwa mahakamani jijini hapa na kusomewa shitaka la kuingia bila kibali katika eneo la...
Muda huu hapa mnazi mmoja, mtu mmoja amepigwa risasi na askari, na wengine wawili wamekamatwa, yaonyesha hawa watu ni majambazi. niko juu kwenye jengo la ushirika nimeona picha nzima ilivyo.
Miradi ya barabara kibao imekamilika bongo
Na Mwandishi Maalum,
MIRADI 15 mikubwa ya ujenzi wa barabara nchini imekamilishwa katika miaka mitatu iliyopita na miradi mingine 33 iko kwenye hatua...
Tendwa akutana na waandishi wa habari
Msajli wa Vyama vya Siasa, John Tendwa leo anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari kuzungumzia Sheria ya Gharama za Uchaguzi katika uchaguzi huo mdogo...
Kuna jambo la kufurahisha kama sio la kushangaza Tajiri na multi millionaire na mtu mwenye brand kubwa na ushawishi Bill gates anatembea bila ya kuwa na mabaunsa au walinzi.Tajiri huyu ana utajiri...
Jana niliamua kutembelea hii bar maarufu maeneo ya Shekilango. Nikaagiza makange ya kuku na ugali. Baada ya kuonja ile paja la kuku nikasikia ladha ya kitu kilichooza. Na baada ya kunusa...
Kabla sijanunua gari miaka hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam alipiga marufuku matumizi ya tinted katika magari. Kama ilivyo ada katika nchi yetu, amri za aina hii huwa ni maoni ya...
Salam wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada, kwa sababu kuna hili jambo ambalo linazidi sana kukithiri nchini Tanzania hasa kwa wahitimu wa shahada ya kwanza. Wahitimu ambao wamepata shahada kwa...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu amezungumza bungeni hivi punde na kusema DC wa Korogwe (Mrisho Gambo) ni mbabe na mwenye dharau. Kwa sababu hiyo, kasema ameshamshitaki kwa Waziri...
WAKUU Kindly,
Ndugu Honorath Charos Moshi, Mchaga Mzaliwa wa Rombo Kikelelwa alipotea toka mwaka 1994.
Alikuwa anaishi Sombetini Arusha na aliondoka ghafla, hakurudi mpaka leo. Watoto wake...
Habari Wakuu, heri ya Sikukuu ya Mapinduzi...................
Awali ya yote napenda kusema mimi ni moja ya vijana wachache hapa mjini ambao bado tuko "very loyal" kwa radio hii maarufu ya Clouds...
Zamani ilikua ukimueleza MTU umetoka Bongo, ilikua ujanja kweli.
Maeneo kama Masaki yalikua yanaonekana ya Maana sana.
Leo hii pamekua pa kawaida sana kama sehemu nyingine za nchi.
Sikuhizi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.