Usipitie barabara ya Mandela Dar sasa hivi

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
818
1,000
Ndugu wana jf. sasa hivi barabara ya mandela kipande cha tazara kuelekea buguruni mpaka ubungo magari hayatembei nimasaa mawili sasa,inasemekana kuna kiongozi anataraiwa kupita nyerere road akitokea airport. tahadhari kwa waliobado kuingia kwenye barabara hii watafute njia mbadala.mchana mwema wadau.
 
Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,312
1,500
Sharing is caring .... Ubarikiwe
Na nyie wakaz wa dodoma mjiandae kisaikolojia kuipokea kadhia hii

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
Jestkilla

JF-Expert Member
Apr 23, 2014
2,993
2,000
Inatakiwa kuwepo na thread maalum ya traffic kushituana barabara gani zina foleni na barabara gani ziko poa.

Sent from my Kimulimuli

Barabara zenyewe hazizidi hata 5 pia ni mbovu hata ukipewa taarifa bado hakuna alternative za kuchepuka therefore ni non sense.
 
General Stalin

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
631
500
Ndugu wana jf. sasa hivi barabara ya mandela kipande cha tazara kuelekea buguruni mpaka ubungo magari hayatembei nimasaa mawili sasa,inasemekana kuna kiongozi anataraiwa kupita nyerere road akitokea airport. tahadhari kwa waliobado kuingia kwenye barabara hii watafute njia mbadala.mchana mwema wadau.
Mbona keshapita kama nusu saa iliyopita? Ila poleni Leo haikuwa mchezo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom