Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Akiba haiozi, utaitumia wakati mwingine kutatua shinda zitakapojitoza. Akiba sio pesa tu bali hata vitu, maneno na vitendo pia vinawekeka akiba kwa matumizi ya baadae. Leo mnasema ni marufuku...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana jamii nahitaji Nyumba ya Kupanga nzima au upande unaojitegemea ndani au Karibu na wilaya ya Bagamoyo.mwenye kufahamu nijulishe tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania kupitia mitandao tofauti wanafurahia matusi ya Mange tena matusi mabaya sana dhidi ya Rais Dr Magufuli na TCRA mpo mnaangalia tu. Kwanini tusijibishane HOJA kwa HOJA? Kwanini...
16 Reactions
577 Replies
55K Views
Unapata zawadi gani pale ambapo unacheza na hisia za mtu. Yeye anakuwa amejitolea kwa moyo wake wote kuwa na wewe but unacheza na hisia zake!! Unafaidika na nini? Magonjwa mengine kama madonda ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwannzoni tulielezwa kuwa VYETI VYA HISA ZA VODACOM tayari ziliishatoka na zipo kwenye maeneo yale ambapo mteja alinunulia Hisa zake. Nimefuatilia kwenye Benki ya CRDB niliponunulia Hisa zangu...
0 Reactions
4 Replies
947 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mara nyingine imetoa amri ya kusimamisha kesi ya wizi wa sh bilioni 3.9 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) inayomkabili mfanyabiashara...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nimeona kwenye taarifa ya habari, hii ishu ya kupanua barabara ya mwenge to morroco is getting serious, sasa nnachojiuliza kwa upana wa barabara uliopo sasa hivi tunahitaji tena kufanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Korea Kaskazini kama nchi ya pekee ni tokeo la ugawaji wa Korea baada ya vita kuu ya pili ya dunia. Korea ilikuwa koloni la Japan kuanzia 1910 hadi mwaka 1945. Kwenye mwisho wa Vita Kuu ya Pili...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kwa miaka mingi sana nchi ya Tanzania imekuwa ikisumbuliwa na maadui wakubwa watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini na miaka ya karibuni wameongezeka maadui wengine kama rushwa na ufisadi...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Arusha . Serikali imewaonya walimu wanaojihusisha na mahusiano ya kingono na wanafunzi wao, kwamba watachukuliwa hatua kali za kisheria watakapobainika. Katibu Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Walimu...
1 Reactions
34 Replies
13K Views
Hongera sana kuwa kiongozi wa muhimili mahakama kuaminiwa inaonyesha uadilifu wako, kuna tafiti zilifanywa kipindi ha nyuma zilionyesha kuwa mahakama ni moja ya taasisisi zenye rushwa hapa nchini...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Habari za wakati huu wadau. Naamini humu siwezi kukosa msaada kabisa maana kuna wataalamu wakila aina. Kwa yeyote anayejua mawasiliano ya kampuni ya google hasa email ya office naomba. Kuna msomi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Kesi ya kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa Whatsapp inayowakabili wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu cha Kampala (Kiu), imeshindwa kuendelea kutokana na shahidi kutofika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mida. Hawa BBC akina Allan Kassuja walikuwa wanapatikana kupitia 103.3. Siku hizi haya masafa ni muziki kwa kwenda mbele. Ningependa kujua wanapatikana kupitia masafa gani kwa sasa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tutakuwa hewani katika kipindi cha RADIO ONE - Kumepambazuka-Kiswahili kesho Jumamosi tarehe 8/Jul/17 pamoja na BAKITA kuelezea mkanganyiko katika majina ya sayari katika lugha ya Kiswahili...
2 Reactions
94 Replies
18K Views
Dr Tulia Ackson anaingia ulingo wa siasa Wilayani Rungwe kama farasi wa Ngong. Kuanzia tarh 21 hadi 23 Sept 2017 kutakuwa na ngoma za asili katika mji wa Tukuyu. Naona kwa spidi hii, huyu mbunge...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakuu niko Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Mkeha anasema hukumu nitawajuza. Waumini wamejaa kumsindikiza Askofu na wenzake. Nitawajuza ===== Update===== Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima...
10 Reactions
87 Replies
11K Views
Kiukweli wakuu kama umewahi fuga paka au kuishi maeneo ya uswazi utakubaliana na mimi kwamba huyu mnyama amekuwa na sifa za kipekee na mwenendo tofauti. Nakumbuka kitambo tuko wadogo mtaani kwetu...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Wana JF Kwa hali ya sasa ya kutokuwepo kazi za kutosha kukidhi mahitaji ya kuhitaji kazi kwa waliosoma na wasiosoma lazima tuamue kitu kimoja. Swali ni kwamba sasa nimesoma nimemaliza huu ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba niweke na vielelezo vya huyu jamaa anajiita Afande mapunda,ila kwenye mpesa kasajili John Mapunda no 0768432060.huyu jamaa anawatumia watu meseji za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom