Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inashangaza sana jana tu na leo nimepokea maombi ya urafiki 80 na sijakubalihata moja maana siwaamini kabisa harakati zangu huko Facebook zinafanya nisiyakubali maombi yao kabisa nimeyakataa maana...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen [emoji23] Tunakoenda wapi...
3 Reactions
43 Replies
10K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akimkaribisha Meneja Mahusiano wa Kampuni ya SportPesa Tanzania, Sabrina Msuya ofisini kwake mjini Dodoma jana ambapo alifika...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wana Jf Imekuwa ngumu sana kumpata mtu au rafiki ambaye anaweza akakusaidia kile ambacho unahitaji, ni wa chache sana wanaoweza kufanya hivyo, wapo baadhi wameanza kujipanga, kama wapo ambao...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna hii tabia mbaya sana inafanyika husani kwa wanaume,unakuta mtu akimaliza haja ndogo anachukua uume wake anaende pale kwenye sinki la kunawia mikono anaosha. Nimeambiwa kuna baadhi ya...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Aisee nawapongeza sana uongozi wa EATV kwa kuonesha uzalendo wa kusaidia wasanii sio kama media zingine.EATV wanasupport Bongo movie kwenye idea ya "Barazani" ambayo itawezesha Bongo movie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
When someone say I don't want to change. Means they want to change but their fear of change is too great. Stay positive.
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Wana JF Kung'ang'ania sehem moja kwa hisia au tumaini kuwa utatoka siku moja pamoja na kuwa tumejaribu sana ila bado mambo hayaendi sio ustarabu ki maisha, lazima tuamke na kufikiria wapi...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Katika siku za hivi karibuni tangu uingie uongozi mpya madarakani kumekuwa na hali ngumu ya upatikanaji wa fedha. Hili linaambatana na kuzidi kwa lawama kwa viongozi wawakilishi...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Je wajua kua virginity ghali zaidi kuwahi kuvunjwa ilivunjika kwa gharama isiopungua $3.7 milion sawa na Bilion 8.2 kwa hela zetu za hapa nyumbani? Tizama video hii uweze kuzifaham zilizofanikiwa...
2 Reactions
81 Replies
15K Views
Biblia inasema asiyefanya kazi na asile, haikusema asiyeombewa na asile. Maombi yana umuhimu lakini waumini wanatakiwa wakumbushwe kumtumikia Mungu, kuanzisha biashara zao, kufanyakazi kwa bidii...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba mwenye jibu hapo juu alielimishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zaidi ya asilimia 60 ya wanawake hawatumii uzazi wa mpango licha ya jitihada zinazofanywa na serikali pamoja na mashirika mbalimbali kutoa elimu juu ya umuhimu wa matumizi ya uzazi wa mpango...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana Jf Kila siku unapoendelea na maisha hapa nchini kwetu au kwingine kuna haja ya kujiongeza haijalishi umesoma au hujasoma, kila mtu akae ajipange kuwa miaka kadha inayokuja itakuwaje, hakuna...
1 Reactions
3 Replies
951 Views
Ndugu serikali mmetupola uwanja wetu tuliopewa na yusuph manji kwaajili ya ujenzi Wa uwanja Wa mpira...so huo uwanja ni Wa public mmetunyang"anya kwa sababu zenu za kisiasa kwamba manji...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau tokea Majuzi nimejaribu kupiga namba 100 ya kwa line ya Airtel ila sijapata fanikio la kuongea na customer care yaani nilisikiliza maelezo Marefu na ya kuchosha masikioni yote nikachoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya week end wakuu. Kwanza naomba kukiri kua kusomea uinjia wowote ninkazi ngumu sana. Ila mimi binafsi hua siwaelewi mainjinia wa kitanzania hasa civil engineers, hawa wanaohusika na...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Mahakama ya juu nchini india itapitia upya sheria inayohusu talaka ya dini ya kiislamu ambayo kwasasa Mwanamme anatakiwa kutamka mara tatu neno talaka na kumwacha mkewe papo hapo(Triple Talaq)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom